Mpenzi wake ni mweupe, hatoi hela na ana kibamia afanyaje?

Mpenzi wake ni mweupe, hatoi hela na ana kibamia afanyaje?

Haya haya sasa
March ndio hii

Swali kama mmeliona hapo
Msaidieni mwenzenu

Mpenzi wake ni mweupe, mwanaume Mbongo na mweupe sio mzungu

Ila ana kibamia na hatoi hela

Afanyaje?
Sasa atoe hela ya nini wakati ana kibamia.
 
Mnatumika sana wanawake wa kibongo, imagine ungejitunza lini ungeita maumbile ya mwenzio kibamia??
Wanaume tuna hekima sana maana tukianza kusema mna mabakuli au mabwawa mtaanza kutia huruma sahivi
Na yeye angefanya kazi akaaa na hela asingeandikwa ana kibamia
 
Wanawake wengi wenu mtakufa vibaya sana, mshajihalalishia kuwa ni haki yenu kupewa Hela.

How?! Acheni ujinga.

Mnataka haki sawa halafu hamuwezi kutafta Hela.

Rudini Beijing mkawaombe Hela hao waliowapumbaza akili.
Sio uhalali ndio kazi aliopewa mwanaume tangu alipoumbwa bustani ya Eden, msipotoa lazima mchambwe
Mwanamke asipozaa mbona hamlalamiki?
Hafi mtu hapa mpaka mkae kwenye majukumu yenu
 
Back
Top Bottom