King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,870
- 95,080
![]()
Hivi kwanini wanaume weupe wanaroho mbaya sana?
Eh, mniache Nimalizane na Birthday yangu Me.maswali mengine sina majibu Kuna mrembo ameulizq hapa Ivi kwanini wanaume weupe wana roho mbaya sana, hawana upendo kwa watu wengine they are very selfish Kwenye mechi wabovu Kwenye ndoa wana roho mbaya sana kwanini lakini? Hili swali niliulizwaga...www.jamiiforums.com
Inabidi wanawake ndiyo wajibu hilo swali.