TUMBOO
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 3,827
- 2,027
Hujiamini?
Unaniwekea pm naona alone
Tuma yako kwanza nione jins ulivo mbaya afu ndio nitume yang
Hujiamini?
Unaniwekea pm naona alone
Tuma yako kwanza nione jins ulivo mbaya afu ndio nitume yang
Njoo pm uone
Acha uongo....nije kwa bas au trekta
Hata kwa mafuriko
Heheheheeee......ikiezekana na greda
Haya njoo
Afu weweeeeee.....mtongozo gan huo....
Sijaanza kumwaga sera unasema mtongozo...heheheh
Kumbe Mnatongozana humu eenh!Afu weweeeeee.....mtongozo gan huo....
Kumbe Mnatongozana humu eenh!
akuu ......we unazan mi ka uyo bib apo
Ni.Muhimu
Huyu material women...hehehehe kimombo hichoBest jaman huoni nampa support kaka zangu woote wameoa
Namwambia akomaee hapa hapa na natural yake hajapiga deki
Huyu material women kabisa
Ennnh! Mtumie Kinga sawa...!
Tutavaa soft rambo nayo c kinga
We mtoto kwenda kalale, ni usiku unajua! OOH!