Hizi picha za shangazi yako umezitoa wapi?
Mwanariadha na tumbo lote hilo unakimbia mita tano nini? Pia ungetupiamo picha moja ikionyesha kwa nyuma vijana wa siku hizi wanasema uzuri wa nyumba choo
Kama hizi picha sio zako, humtendei haki huyu uliyemuweka. Usijibu ila wewe na nafsi yako unaujua ukweli. Kama ni zako nisamehe kwa kuweka mashaka juu ya hili.
Hutaki kumwagiwa?
We nokia wewe naona umemmaind mremboo wa kwenye picha
Hapana mm na majimama mbalimbali
Sio mijimama sema tu picha haijakuvutia apo
Hebu weka yako basi
Acha uchoyo
Ww bado mwali?
Aka weeee
Jamani changamkieni malaika yaweza kuwa mambo ya kama ile hadithi ya Chaupele Mpenzi.... Usiku anavua magamba na anakuwa Binti Mrembo haswa...
Basi weka nione pk yang
Anza kumchangamkia ww wengne wafatee
eeeeh sasa huyo kama nikianza mimi na wengine wafuate si itakuwa balaa ndani... au ndio tuwe tunapokezana?
Cdanganyiki ng'ooo.....eee kila mtu aone uckute ---- lang lipo shingon eee..ukimbie bureee