Mpenzi wa kweli anatafutwa

Mpenzi wa kweli anatafutwa

Nina mashaka kama hizi pictures ni zako! Kama ni kweli basi utakuwa na roho ngumu zaidi ya mpalestina!
 
Best wishers ukipata utuletee mrejesho
Ila mshirikishe Mungu akupe macho ya rohoni kumpata mume mwema

Asante kwa wishes, usijali mrejesho utaupata hapahapa. Mambo yakiiva wewe utanifaa kamati ya mapambo.
 
İsh... asa demu wangu Khantwe hapa anahusikaje?

Ukiona jina la mkeo unakumbuka mambo yenu tuu

Wewe nawe mkeo namwitia tenda hapa
Sis wajasiriamali
 
Last edited by a moderator:
Jamani leo na mimi nijaribu bahati yangu humu jukwaani, labda naweza vua samaki kwenye shamba la miwa, upweke huu! Mh! Kwa mlio zoea matusi na kejeli wala sivihitaji, mpite mkinyata kimya kimya mnipishe na walio serious.

Natafuta mpenzi wa kweli, mambo ya ndoa yatakuwa makubaliano.

Mimi ni dada mwenye umri wa miaka 28, elimu yangu stashahada, mkristo mcha Mungu, kazi yangu mwanariadha(mkimbiaji), naishi na wazazi wangu hapa mwanza, sina mtoto wala sijawahi kuolewa, niko tayari kuhamia mkoa wowote nitakao pata mpenzi sababu hii kazi yangu ni ya msimu, muonekano wangu - nime attach picha yangu hapo chini.

Haya sasa, wasifu wa nimtafutae;

Umri kuanzia 35+, najua wengi wao wana ndoa lakini kwa hao masingle wachache na mimi niambulie mmoja. Iwe wamechelewa kuoa, wameachika, wagane n.k mi sijali. Nahitaji mtu aliyenizidi kuanzia miaka 7. Halahala kwa wenye watoto kama saccos.

Awe na kipato cha kututosheleza, hapa niwe muwazi tu, yaani wale njaa njaa siwahitaji, kama umezoea kuhonga maelfu hapa kaa kando.

Elimu kuanzia kidato cha nne ila awe muelewa jamani, maana wenzangu na mie tusiosoma huona kila aliyesoma anaringa.

Awe mwenye uwezo wa kutekeleza majukumu yake yote haswaa kama mwanaume. Sipendi wanaume wanaotoa mwanya kwa wenzao kuwasaidia.

Muonekano wa kawaida, nataka gentleman jamani, sipendi mwanaume m-beautiful.
Awe mwenye tabia njema, watoga masikio, wavaa vipini puani, wavaa milegezo wapite mbali kabisa.

Kwa mwenye sifa aliye tayari, karibu sana.

Nadhani kwa hapo vigezo nimetosheleza namba yangu ni hii hapo nitafute!
070oo
 
Best jaman huoni nampa support kaka zangu woote wameoa
Namwambia akomaee hapa hapa na natural yake hajapiga deki
Huyu material women kabisa

Heheheheee akuna ck nmecheka kama leo...
.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom