spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,158
Naangaiya mpiya babu...ila kesho ile hm work cjafanya afu mpira wa leo dah
Haya lala sasa umekwisha! Amka saa kumi na moja utamaliza!
Naangaiya mpiya babu...ila kesho ile hm work cjafanya afu mpira wa leo dah
Mkuu huyu kweli alikuwa serious na ni mwenye roho ngumu kama ya pharao tofauti na hawa wa siku hizii...Ndio inaingia vzr kwny mifuko hata kama unaweka mfuko wa nyuma safi tu