Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
Kama ni kweli unayosema hilo ni bomu iko siku litalipuka
...Tena soon!!
Kama ni kweli unayosema hilo ni bomu iko siku litalipuka
Hivi huwa mnaishi na wanawake wa gani???
Ndio ujue we ukiona cha nini kuna wanaosema watakipata lini!!
Wanawake wanatongozwa sana hata na wauza genge! Kama mwanamke anajirahisi huku akijua yy ni mke wa mtu atatongozwa tu km ana msimamo na hataki upuuzi hakuna mwanaume atakamletea upuuzi wanaume nao wanaangalia chaka ka kuvamia si kila mwanamke!
huyo ni malaya ikiwezeka timua.anaowakubalia kakwambia unatakiwa ufikirie kwa umakini.
dah halafu namalizia hapa U never know what u had till u lose it!!
Unanikumbusha kuna duu nilishawahi kuwa naye kila mwanamme alikuwa akimtongoza alikuwa akiniambia ila kuna siku nikamshika akiwa na best yangu ambaye alikuwa hajui kama tunafahamiana nae nilipomdadidisi best yangu akaniambia ameshamla nilijikaza ki ume ila ndo hivyo ilikuwa ndo mwisho wa habari yake ya mjini wote tukampiga chini alijutaje.