kinyoba
JF-Expert Member
- Jun 2, 2011
- 1,267
- 721
me nampenda huyo maana ni muwazi na anakwambia il ujue kama kunahtajika msaada wakuondoa usumbufu
unajidanganya saaana! Usikubali kuambiwa upuuzi wa fulani kanitongoza kwa sababu anakuambia kwa maana hajampenda! Siku akitongozwa na msela na mkeo akaingia line unadhani atakuambia?