Ila kweli mkuu, nishauli nifanyaje ?Kumuacha huwez ila yy kukuacha anaweza sasa naona unashindana na uwezo.
Nina miaka 20 mkuuUsiwe mvulana jitahid kuruka hio stage haraka kabla corona haijatusumbua.
Mkuu hizo message nikama wiki nasijazoea kufuta message maana namba mpya ninyingi, nikifuta huwa nasahau namba mpya ninyingi ndomana Sina mazoea yakufuta messagKwanini una save msg za mchepuko mkuu?
Chakufanya mkuu, Tafta hela kwnza,


yey akutak ndo maana akujib,kwahy itabd nawe umwache,cha msing kua makini na gonjwa ili la CORONA,fata maelezo ya wizara ya afya
Sent using Jamii Forums mobile app




Hahah na akitemwa atemeke..tafuta mwingine mkuuUkiachwa achika
Mpaka Corona iishe watoto warudi skul tabu sana humu jukwaani.Ushauri naombeni members wenzangu wa JF.
Habari wakuu, naombeni ushauli wenu wakuu Leo mpenzi wangu amefumania message za mwanamke mwingine ambazo zilikuwa za muda mlefu ameamua kuniacha, nikimtumia message hajibu whtspp message zinatiki anaziona lakini hajibu kila nikituma message za msamaha anaziangalia tuu hajibu mpaka nimechoka sasa, nampenda sana.
Ushauri wenu wenu wakuu nifanyeje anielewe
Asntn.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee uko dunia ya ngapi?
Siku hizi hamuna nguvu hii ndio sababu mnalizwaTena wewe unayejifanya unawivu ndo mzuri, ukifuma sms unabembeleza utalia kitachofuata ni mgegedo maisha yataendelea, yaani hapo sitokuacha uondoke lazima uliwe kwanza