Kwani nani kasema nguvu, utapapaswa hadi unalegea, unadhani utaambiwa aroo! Hebu vua nikulengeSiku hizi hamuna nguvu hii ndio sababu mnalizwa
Hiii mliopo nyie, sasa mtu ashike simu yangu mwenyew niumizwe kichwa? Akitaka arudi kama kaondoka kila la kheriWee uko dunia ya ngapi?
Ungekuwa unampenda usinge chepuka temana nae
Woi unaweza vuliwa saivi ukazima tuKwani nani kasema nguvu, utapapaswa hadi unalegea, unadhani utaambiwa aroo! Hebu vua nikulenge
Unamatamboo ndio maana kila daily itakuwa unabadili rangi mwishowe utazeeka single.Hiii mliopo nyie, sasa mtu ashike simu yangu mwenyew niumizwe kichwa? Akitaka arudi kama kaondoka kila la kheri
JinyongeUshauri naombeni members wenzangu wa JF.
Habari wakuu, naombeni ushauli wenu wakuu Leo mpenzi wangu amefumania message za mwanamke mwingine ambazo zilikuwa za muda mlefu ameamua kuniacha, nikimtumia message hajibu whtspp message zinatiki anaziona lakini hajibu kila nikituma message za msamaha anaziangalia tuu hajibu mpaka nimechoka sasa, nampenda sana.
Ushauri wenu wenu wakuu nifanyeje anielewe
Asntn.
Sent using Jamii Forums mobile app

relax kwanza mpe muda hasira zipungue huku unajipanga then tumia uongo huu hapa
Mpaka Corona iishe watoto warudi skul tabu sana humu jukwaani.
Mm niko na uchawi unalamba kimasihara tu tena bila kutoa jasho la kuongea, kazi kwako
Unamatamboo ndio maana kila daily itakuwa unabadili rangi mwishowe utazeeka single.
Maliza kwanza kusoma la sivyo utaharibikiwa mbeleniUshauri naombeni members wenzangu wa JF.
Habari wakuu, naombeni ushauli wenu wakuu Leo mpenzi wangu amefumania message za mwanamke mwingine ambazo zilikuwa za muda mlefu ameamua kuniacha, nikimtumia message hajibu whtspp message zinatiki anaziona lakini hajibu kila nikituma message za msamaha anaziangalia tuu hajibu mpaka nimechoka sasa, nampenda sana.
Ushauri wenu wenu wakuu nifanyeje anielewe
Asntn.
Sent using Jamii Forums mobile app
True maimbooMaliza kwanza kusoma la sivyo utaharibikiwa mbeleni
My life is mine to remember