Nahisi bado anawasiliana na mpenzi wake wa zamani

mambo ya nyakati

Senior Member
Aug 24, 2022
115
144
Ushauri,

Juzi nipo na mpenzi wangu tumekaa tunapata kinywaji, harakati za hapa na pale nikahisi jambo kwenye simu yake. Kumpokonya simu, simu ikaleta password kila file, ila mwanzo haikuwa na password kwenye mafile.
katika ugomvi wa hapa na pale akasusa, kaacha simu yake akaondoka kwao, me nikashindwa kusoma kila kitu, na mimi nikarudi home kulala.

Asubuhi nikapata wazo niitoe lain yake niweke kwangu, mara baada yakuweka simu namba ngeni inapigwa, nikakata. Kukataa meseji imeingia, kwanini unakata simu, unazingua, uko wapi? Mimi nikajibu tuma message niko sehemu mbaya. Hajajibu message akawa anapiga nikakata, kukata hajajibu message tena. Kakaa kimya, kucheki jina usajili, Xwake walioachana.

Baadae kaja home kuongea anasema anamsumbuaga tu, hakuna lolote, kuomba msamaha yakaisha yakapita.
Leo kaniita sehemu tumekaa tunainjoy nikahisi jambo, nikakaza nipe simu yako tuone kama ile namba bado inakucheki kakataa katakata, akaondoka kulala kaniacha sehemu saa 6 usiku peke yangu.

Nafikiria sana, katika maisha yangu niliapa sitokuja kupenda tena. Najikuta nimeingia cha kike tena. Nifanyeje wakuu niwe mkatili? Kwanini narudia makosa ya kupenda penda watoto wa watu?

Kwanini mimi isee?!
 
Ukitaka udumu kwenye mahusiano tafuta demu bikra uanze kunyandua mwenyewe ukikuta demu ameshanza kunyanduliwa huyo kamwe sio wako peke ako
Kuna wenzako walipataga hao bikra uliza yanayowakuta leo hii. Labda ubahatike kupata mwanamke anaekupenda kweli angalau hutoona mapicha picha kama mwenzako hapo juu kinyume na hapo ni matukio kwa kwenda mbele.
 
Bro, jijenge kwanza kiakili, kimwili na kimali, kwa maelezo yako machache tu kuna vitu tayari vina walakini upande wa kiuongozi, yaani namaanisha umeshindwa ku-control mahusiano yako.


So kwa usalama wako, piga chini huyo mwanamke, wanawake wapo wengi sana ambao ni waaminifu na wanao jiheshimu.

Mwisho kabisa kubali maumivu au kubali kuangamia.

Cheers
 
Kuna wenzako walipataga hao bikra uliza yanayowakuta leo hii. Labda ubahatike kupata mwanamke anaekupenda kweli angalau hutoona mapicha picha kama mwenzako hapo juu kinyume na hapo ni matukio kwa kwenda mbele.
Demu kumuanza ww inapunguza risk kubwaa kuliko kupata demu alieshawahi kunyanduliwa always aliemtoa bikra hamnyimi mchezo hasa ukikorofishan nae 😂 Me binafs kuna ex zng kama wawili nimewatoa bikra now wako kwa mahusian mengin ila still nikitaka mchezo sinyimwi japo now nimeokoka 😂😁😂
 
Demu kumuanza ww inapunguza risk kubwaa kuliko kupata demu alieshawahi kunyanduliwa always aliemtoa bikra hamnyimi mchezo hasa ukikorofishan nae 😂 Me binafs kuna ex zng 2 kama wawili nimewatoa bikra now wako kwa mahusian mengin ila still nikitaka mchezo sinyimwi japo now nimeokoka 😂😁😂
Dah! Umetoa bikra mbili wakati wengine ata muonekano wa bikra hatujui ukoje🤣🤣🤣🤣🤣

Haya ndio yale ya mtu kushinda kombe la uefa mara tatu na timu tatu tofauti huku wee ukiwa world player of the year na ndoo ya uefa unaisikiaga.
 
Dah! Umetoa bikra mbili wakati wengine ata muonekano wa bikra hatujui ukoje🤣🤣🤣🤣🤣

Haya ndio yale ya mtu kushinda kombe la uefa mara tatu na timu tatu tofauti huku wee ukiwa world player of the year na ndoo ya uefa unaisikiaga.
😂😂 uvumilivu unahitajika mzee baba kuna uyo mmoja ilikua ukimwambia ishu za kunyanduana tu anakwambia muachane na atakunununia mwezi alichohtaji yeye ni ndoa kwanz halaf mengine ndo yafuate kwa kweli ilipita miaka na miaka mpk kujakufanikisha 😂😂😂
 
😂😂 uvumilivu unahitajika mzee baba kuna uyo mmoja ilikua ukimwambia ishu za kunyanduana tu anakwambia muachane na atakunununia mwezi alichitaji yeye ni ndoa kwanz halaf mengine ndo yafuate kwa kweli ilipita miaka na miaka mpk kujakufanikisha 😂😂😂
Una moyo. Mie demu akininuima mara mbili tuu nahesabu hasara zangu mapema. Wee miaka duh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom