Mpenzi amefumania message za mapenzi

Mpenzi amefumania message za mapenzi

Nampenda nakumuacha siwezi mkuu nifanyeje

Sent using Jamii Forums mobile app


Halafu muache mambo ya ajabu ajabu mtu unasema unampenda sasa kwa mwengne ulitafuta nn km si mattzo na stress za kujitakia mm yamenikuta km hayo sema itakua huyo wako tumetofautiana nia ndio mana hakujbu mm wngu nilpomfuma hakukataa kosa amekiri kua kweli nimsamehe ni shetani amempitia yule km anaempitia Diamond ndo mnae nyote nyinyi tulitumia kama masaa mawil tu kuongea hilo ttzo tukalimaliza tukaenda na mengne ni cku ya nne leo toka litokee hili kwaio fanya hivo naww muongee uso na macho


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ww mtengenezee kosa la kushika simu bila ruhusa yako alaf uwe ww ndo umemuacha ili akuombe msamaha yeye

GunFire


Kama tayar alishamfnyia vitimbi bac mwanamke alkua na haki ya kupekua cm mana alkua anamsuspect mm mbna imentokea ila nilkua nasubir kuthibitisha kwa cm yake hakunilaumu ila nimeomba msamaha na kukiri kua hilo ni kosa nimechkua bila ridhaa yake muhimu kujishusha yaishe tu mana km huyo bibi ana bwana wake na huyu alieachwa hana ela hapo ashampa njia nyeupe


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya yoooote ila usikubali kuwa umechepuka,, mwanaume hata ukutwe kitandani na demu tafuta kila namna ukatae..

Otherwise ukikubali kifala next time atafanya yeye na ukimkuta atasema mbona wewe ulichepuka akakusamehe

Take Care & Thank me later,,,, usisahau ku sanitize kuepuka Corona


Mm bwana wngu alikubali kua amechepuka ni mtu wake ila alikataa kata kata kua hajawah kulala nae huyo ivi wanaume mnatuona watoto cjui uchepuke bila kugegeda ulkua na maana gan hamjui kukubal kosa mnakomaa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm bwana wngu alikubali kua amechepuka ni mtu wake ila alikataa kata kata kua hajawah kulala nae huyo ivi wanaume mnatuona watoto cjui uchepuke bila kugegeda ulkua na maana gan hamjui kukubal kosa mnakomaa

Kukubali kosa moja kwa moja ni udhaifu mkubwa sana kwa mwanaume.. Vipi bwana ako mnaendelea nae au mliishia hapohapo..???
 
Kukubali kosa moja kwa moja ni udhaifu mkubwa sana kwa mwanaume.. Vipi bwana ako mnaendelea nae au mliishia hapohapo..???


Mkuu kuna situation huez kubisha mtu ushamshika akakataa next time unamshika kwa ushahidi 100% mtu huyo huyo mmoja si unakubal tu kua kweli? Ndo kilchotokea
Mm sina shida yyte ni kawaida ya wanaume kumpata perfect hamna cha msingi amemuacha na nimethibitisha na amekiri kosa asamehewe bac yaliisha hapo hapo tunaendelea na mengne na wala hana ela ni bahati tu ya kunipata mm nikatulia nae kwaio hayo mambo yapo cjui tena km watayajenga upya au vp ila kwa upande wngu yamaisha


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom