Mpenzi amefumania message za mapenzi

Mpenzi amefumania message za mapenzi

Ushauri naombeni members wenzangu wa JF.

Habari wakuu, naombeni ushauli wenu wakuu Leo mpenzi wangu amefumania message za mwanamke mwingine ambazo zilikuwa za muda mlefu ameamua kuniacha, nikimtumia message hajibu whtspp message zinatiki anaziona lakini hajibu kila nikituma message za msamaha anaziangalia tuu hajibu mpaka nimechoka sasa, nampenda sana.

Ushauri wenu wenu wakuu nifanyeje anielewe
Asntn.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu.
Mtafute week ijayo siku kama ya leo.
Atakusikiliza vziuri tu.
Ila achana na michepuko kijana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom