BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,825
- 287,847

Kutoka Michuzi blog
Amanda Ole Sulul akiwa katika vazi lake la taifa lililobuniwa na Farouque Abdela katka maonesho ya mavazi haya ya kimataifa yaliyofanyika mjini HoCHi Minh, Vietnam.
Hivi sasa watanzania na watu wote duniani wanaweza kumpigia kura Amanda katika shindano la kutafuta vazi la taifa bora kwa kupitia mtandao. Tembelea tovuti ya www.missuniverse.com kwa maelezo zaidi.