Mpelekee yule dada bia . . .

Mpelekee yule dada bia . . .

Mmh, ungejua navyokuogopaa sababu ya jina lako wala usingethubutu kuja sred hii.

Sijui kwa nini huwa napata hofu nikikuona, nahisi nakufahamu.

Kongosho, hofu ya nn? C unywe tu, ujue wanaume wa tz tumeumbwa na ukarmu sana af tunajua kuwawezesha. C mpaka muwezeshwe ndo mnaweza so ni mojawapo ya uwezeshaji.
 
Last edited by a moderator:
Mmh, ungejua navyokuogopaa sababu ya jina lako wala usingethubutu kuja sred hii.

Sijui kwa nini huwa napata hofu nikikuona, nahisi nakufahamu.

hahahaha. Kongosho umenichekesha sana.. Uliwah kutendwa na huyo mtu?
 
Last edited by a moderator:
Mbona wanawake hawawasumbui wanamme?
Mie sitaki ofa, na nikitaka naomba wazi wazi.

kama umejiegesha maeneo ya kukusanyia hesabu, lazima waseme na wewe!
hata hivyo unahiyari ya kukataa ofa au kukubali.Tena ushukuru walmethaminisha ndo maana unagongewa ofa.
 
Ananiagizia bia wakati napiga margarita yangu, kitu swaafi.

Kiukweli sipendi ofa za aina hiyo regardless nachokunywa, huwa naona kama dharau sana kufika mahali na mtu asiyenifahamu kunipa ofa.

Kongosho hakasiriki kuagiziwa bia...
anakasirika kuagiziwa bia wakati yeye anakunywa konyagi, lol!
kuna siku baa fulani wanafunzi walimnunulia bia lecturer wao..... barmaid akamwambia bia inatoka kwa wale wanafunzi....
akamwambia kawaambie asante.
akanywa akamaliza akamwita yule muhudumu akamlipa bia creti zima akamwambia awapelekee wale wanafunzi. mbona walikoma!
 
Last edited by a moderator:
ishawahi tokea, jamaa kachungulia kakuta mabinti wanachapa soda kapiga mahesabu, kaona hata wakinywa kumi kumi thirty haifiki, katuma waiter awahudumie kuja kuomba bill, inasoma five figures!!! mabint waliswap heigken kwa soda!
 
Mi sijawahi pewa ofa kama hiyo. Labda hizo ni tabia za Dar, huku Tanga hamna hizo.

Kwani na wewe unaendaga kutegesha kwenye mabaa? Mi nilidhani wewe unanywea nyumbani tu.....
 
wadada wanao kunywa bar peke yao wanategesha?

Hapana, siyo peke yao. Ila perception ni kwamba wengi wanaokunywa peke yao kwenye mabaa ni wanategesha.

Sasa kutegesha si kwenye mabaa tu. Wapo hadi wanaotegesha kwenye maktaba. Kinachotegemea ni aina tu ya mtu anayetegeshewa na pengine aina ya potential relationship inayosakwa. Kama manzi anataka sponsor tu basi bar scene ndiyo ideal place.

Manzi anayetaka kutegesha anaswe na family oriented man sidhani kama anaweza kwenda kutegesha Hongera bar. It's kinda counterintuitive to me.
 
Sijui lakini, raha ya kununuliwa kitu uwe na uliyeenda naye

Hii kukutana na krichaz zianze kukununulia ni kutafutiana mada kesi tu.

ishawahi tokea, jamaa kachungulia kakuta mabinti wanachapa soda kapiga mahesabu, kaona hata wakinywa kumi kumi thirty haifiki, katuma waiter awahudumie kuja kuomba bill, inasoma five figures!!! mabint waliswap heigken kwa soda!
 
Mwanamke akiwa peke yake asiingie bar ili asidhaniwe anategesha?

Hapana, siyo peke yao. Ila perception ni kwamba wengi wanaokunywa peke yao kwenye mabaa ni wanategesha.

Sasa kutegesha si kwenye mabaa tu. Wapo hadi wanaotegesha kwenye maktaba. Kinachotegemea ni aina tu ya mtu anayetegeshewa na pengine aina ya potential relationship inayosakwa. Kama manzi anataka sponsor tu basi bar scene ndiyo ideal place.

Manzi anayetaka kutegesha anaswe na family oriented man sidhani kama anaweza kwenda kutegesha Hongera bar. It's kinda counterintuitive to me.
 
Nisaidie kukasirika aisee

Kaa vipi tukutane pale ambrosia tukate masanga peke yetu ole wake mtu atoe ofa, nakuja na sime this time.

tabia mbaya na siipendi.
 
Mi sijawahi pewa ofa kama hiyo. Labda hizo ni tabia za Dar, huku Tanga hamna hizo.
halafu mwali mm nipo huku tanga chumbageni bar zenyewe kuipata ni kazi kwelikweli mji umetulia hamna hamsha hamsha kabisa sikutegemea mji huu kuwa hivi ,Tanga imekufa ....
 
Back
Top Bottom