Nashangaa kwa nguvu tu
Kwani nini mwanamke akiwa peke yake maeneo ya kuburudika utasikia 'mpelekee yule dada bia'
Bila kujali unakunywa juisi/soda/maji, tena kuna wakati hata hajamaliza kuagiza atakacho anapewa ofa ya bia.
Na hawa ma maweita wanaokubali kutumwa kusema 'nimeambiwa nikuletee bia' hawafundishwi kastama kea? Wamiiliki linawahusu hili.
Na nyie baadhi ya wanamme, ni nini? Kwa nini hamuwaachi wanawake na mambo yao?
Akyamama sheria ya umiliki wa silaha ya TZ inasemaje? Maana itahusika muda si mrefu.
Ni taarifa na tahadhari, maana kuna watu ntawafanya wajane au yatima soon kwa kurestisha in peace baba zao.
Hiyo ni lazima utaanza kujiuliza maswali wewe mwenyewe kuwa jamii inakuchukuliaje, ikiwa wewe ni mke wa mtu umekaa BAR peke yako. ndiyo hapo unaanza kuwa nawasiwasi, lakini wale wenyewe huwa hawana wasiwasi wowote.hiyo hali haijawahi kunikuta na naomba isinikute......
kwenda bar peke yangu? no ways......
hata kama nakutana na watu na ikatokea mimi nimewahi kufika sitoki kwenye gari mpaka wafike. siwezi kabisa kukaa bar peke yangu, sijui kwa nini
ina maana we ndo unajua sana au,kama hutaki ofa si ukatae huko huko bar,usikute unatamani sana hizo ofa ila hupewi,usijifanye mwema ili upate mume jf kama ni gume gume basi utabaki hivyo tu,tena nna mashaka kama nguo yako ya ndani ni safi(kama umevaa lakini)
Sioni ajabu kukaa bar pekeyako mwanamke. Hata hao wanaotoa offer uwa wanaangalia na mtu mwenyewe. Kama umekaa kihasara hasara watakupa to offer na baadaye sound zinafuata.
Sasa madam,kama anaanzisha ofa si unamuambia tu,mimi sipo kama unavyodhania?
'
Mitego ni kawaida kwa mwanaume amuonapo mwanamke maeneo ya vilevi
'
Ukiendelea namna hii,kuchukia mtu akikumendea,inabidi uache kwenda maeneo hayo au uwe unaenda na mwanaume au jiandae kupata kesi ya kijinga
'
Eti umempiga mlevi baada ya kukutongoza!!!!!!!
We ni He au She? Mbona mipasho kama Khadija Kopa?