Please be adequately informed that I did these postings without bias.
In addition,cover up your outrageous accusations with an even greater accusation to distract from your previous accusation.
Kwa taarifa yako mpasuko umeanzia mwanza , Wenje kamshikia mtu pisto Mbele ya Katibu wenu Mkuu huyo. Sasa sijui nani atasuluhisha wakati Wenje yuko upande wa Mbowe na ndiyo maana alimdharau SLAA na kuamua kutoa pisto.
Just ignore him. Anacheza mdundiko wa CCM. Nimefurahi sana kwa Kitila kuupotezea huu upuuzi
Kwa taarifa yako mpasuko umeanzia mwanza , Wenje kamshikia mtu pisto Mbele ya Katibu wenu Mkuu huyo. Sasa sijui nani atasuluhisha wakati Wenje yuko upande wa Mbowe na ndiyo maana alimdharau SLAA na kuamua kutoa pisto.
Dr. Slaa...WanaJF,
Hivi mtu unapoandika jambo usilojua ukaliandika tu kwa ushabiki huoni kuwa linakushushia hadhi? Kama kweli una nia ya kujua kwanini usiulize kilichojiri?
Nasikitishwa na hali hii ya kufanya mambo kwa ushabiki. Kikao kinachohusika ni kikao cha Kamati Tendaji mbili za wilaya ya Nyamagana na Ilemela. Mimi ndiye niliyeitisha kikao hicho. . Nimeshuhudia yaliyojiri, hakuna swala la makambi ya Mbowe na Slaa. Wala hakuna swala la wenje kutishia mtu ni taarifa iliyopikwa. Mimi nilimtoa kwenye kikao kijanaaliyesimamishwa baada ya mchakato hadi kufikia CC. Akagoma kutoka. Wala hakutishwa alitolewa na vijana.
WanaJF,

Uko sahihi mkuu, Kitila Mkumbo alikuwa hapa online na akaamuwa kuipotezea tu hii thread nadhani Dr Slaa anapaswa kuchukuwa huu ushauri wako makini. kudos!Dr. Slaa...
Si lazima kujibu kila tuhuma/uzushi unaoenezwa hapa JF.....
Mengine uwe unayapuuzia tu maana daima kukaa kimya ni jibu kwa mjinga....
Wanjamvi, tuna bahati ya kuwa na ukumbi na kukutana na baadhi ya viongozi, watu wenye uzoefu mbali mbali, taaluma n.k. Ni dhima yetu kuhakikishia tunaitumia fursa hii kujadiliana mambo yanayolisaidia taifa ikiwa ni pamoja na ukuaji wa demokrasia kwa ujumla.Mshauri mkuu wa chadema ndugu, Kitila Mkumbo alitembelea Uingereza katika miji ya London na Readings kuanzia tarehe 5 Machi na 6 Machi 2012 na kuondoka tarehe 10 Machi, 2012.
Miongoni mwa mambo aliyotueleza ni kuwepo kwa mpasuko wa nani anasitahiri kubeba/kupeperusha bendera ya chadema katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kati ya Freeman Mbowe na Dk. Slaa. Mkumbo anasema kuna kambi mbili zinazopingana ndani ya chadema kuhusu suala hilo
Wewe kweli Mkigoma una akili kama za mayai vizasi Mbowe wala Slaa anayefaa kuwa Rais wa Nchi hii labda kwa upinzani mngemsimamisha Lipumba huyu ana sifa za kuwa Rais.
Kwa jinsi ninavyofahamu uadilifu wa Kitila, nitashangaa sana kama aliweza kuwaeleza ninyi hizo siri za ndani za chama. Na kama amefanya hivyo basi inawezekana aliwaamini watu wasio waaminifu, wasio na kifua cha kutunza mambo, ambao mwisho wa siku wameamua kuweka habari hizo mtandaoni kama hivi. Ni aibu sana kujua kwamba habari za chama zimevuja kupitia kwa mtu fulani ambaye anaheshima kubwa ndani ya chama. Tutayaongea haya kwenye vikao vyetu.
WanaJF,
Hivi mtu unapoandika jambo usilojua ukaliandika tu kwa ushabiki huoni kuwalinakushushia hadhi? Kama kweli una nia yakujua kwanini usiulize kilichojiri?
Nasikitishwa na hali hii ya kufanya mambo kwa ushabiki. Kikao kinachohusika nikikao cha Kamati Tendaji mbili za wilaya ya Nyamagana na Ilemela. Mimi ndiyeniliyeitisha kikao hicho. . Nimeshuhudia yaliyojiri, hakuna swala la makambi yaMbowe na Slaa. Wala hakuna swala la wenje kutishia mtu ni taarifa iliyopikwa.Mimi nilimtoa kwenye kikao kijanaaliyesimamishwa baada ya mchakato hadi kufikiaCC. Akagoma kutoka. Wala hakutishwa alitolewa na vijana.
Kama nafasi ya kugombea urasi inagombewa ndani ya chama, then hii habari haina mashiko hata kidogo.
Siyo kweli kwamba mkiwa chama kimoja basi mnakubaliana kila kitu, na pia kama wanagombea, kuna uwezekano kukawa na mgawanyiko wa makundi yenye kusapoti mgombea tofauti tofauti, lakini hilo halina maana a "mpasuko"
Unless kama kuna hatari ya mmojawapo kujiondoa kwenye chama nk.
Yaani hapo umefurahi?Mbowe for presidency..slaa kapumzike
si Mbowe wala Slaa anayefaa kuwa Rais wa Nchi hii labda kwa upinzani mngemsimamisha Lipumba huyu ana sifa za kuwa Rais.