Mpasuko CHADEMA, Nini kifanyike?

Dr. Slaa uwe mkweli kwa tukio la Mwanza kwani hata mie nilikuwepo silaha ilitolewa kutokana na purukushani za mjumbe mmoja kung'anga'ania kuingia kwenye kikao kisicho muhusu.

unawashwa? Usilazimishe utumbo wewe!
 
Kwa taarifa yako mpasuko umeanzia mwanza , Wenje kamshikia mtu pisto Mbele ya Katibu wenu Mkuu huyo. Sasa sijui nani atasuluhisha wakati Wenje yuko upande wa Mbowe na ndiyo maana alimdharau SLAA na kuamua kutoa pisto.
mzee acha uvivu,umbeya na ushabiki wa kijinga.'Wenje ashafafanua kilichotokea...hakuna aletishiwa na bastola!soma raia mwema la juzi j5!usiishie kwenye headline maana shida ya most of our journalists wengi mnaijua!
 

dah....nilishawaambia huyu jamaa atakuja kuwa janga kubwa hapa tanzania nikatukanwa.sasa true colours zake zinaonekana ni kama ghadafi tu.vijana wenye muono na mitaizamo kama anayoonyesha ben saanane dhidi ya viongozi wa vyama vingine vya upinzani hapa afrika ni uthibitisho kwamba haumini katika demokrasia.huwezi jua jinsi moragan alivyowapigania wazimbambwe kutoka kwa role model wako dikteta robert mugabe

una chuki kubwa sana dhidi ya wazungu na sijui ni kwa nini ulienda kusoma huko.cha ajabu elimu waliyokupa ndiyo unaitumia kuwatukana.ben umefikia hatua ya kudharau hata dini za watu waombe radhi watu.tanzania haiko tayari kuongozwa na radical leftists.tabia zako zinashabihiana sana yule malema wa south afrika aliyetaka makaburu wauwe.viongozi wa aina yenu ni janga kubwa huko mbele

 

Unachoongea hapa ni matunda na athari za ubeberu.Wewe ni typical example ya huu ufedhuli.Hatuwezi kukuchukia au kukudharau wewe kwa kuwa tunajua haujapenda.The least thing we can do is to break the york/chain of cultural imperialism

South America used to be like Africa but they have no more puppets. Chavez Morales and Correa said no to imperialism. The only anti imperialist we have is Mugabe. W We cannot defend ourselves but South America can
 

Mkuu hapo kwenye bold haiwezekani mgombea ni either Slaa or Mbowe full stop!
 
Tiba .......kama hawataelewana chadema inaweza kuwajenga vijana wapya kama John Mnyika na Zitto Kabwe kabla ya mwaka 2015.

Tamaa ya nani atakiwa kukibeba chama kwenda ikulu imeua vyama vingi sana

Usiseme tamaa mkuu unajua kila mtu anapoingia kwenye siasa anakuwa na lengo lake, btn the lines utaona kuna hoja kuwa mhe amewekeza pesa zake nyingi sana hili ni jungu kuwa mhe anataka urais ili iweje? aweze kurejesha pesa zake? hii ni kweli au mbowe anachafuliwa ? nilishasema jana kwenye ile thread ya mama asha-rose migiro kuwa sio ccm tu wanapigana vikumbo kwenye uchaguzi wa 2015 hata CDM mpo vitani na mnatakiwa muangalie na kuangaliana kwa makini kwani wabomoa vyama siku zote mna humo humo kwenye vyama vyenu msitutolee macho sie tunaotoa ushauri na kutumiminia mitusi!
 

kitila yupi huyo?

au yule dogo nilisoma naye O'Level tulikuwa tunakwenda kununua pamoja maandazi ya mafuta ya maweze kwa Mama Kemia?
 


Kama kweli mpasuko upo basi wampe Mh. Tundu Lissu apeperushe bendera ya chama chao 2015. At least anaweza akatuletea Katiba yenye akili kidogo. Otherwise wampe Dr. Slaa ila ahakikishe amefunga ndoa rasmi kabla ya huo uchaguzi ili lile jina la mchumba lifike tamati.
 
thread yako yaonesha wewe ni mshamba flani ama mgeni hapa jamvini, suala la urais lilishatolewa ufafanuz na dr slaa kitambo. Mleta mada anaota.
 
Unajua wakati mwingine kutokuwa wakweli kunatugharimu sana pasipo sababu na haiyumkini haya mapenzi na ushabiki wetu tulio nao kwenye vyama vyetu na kukosa nguvu ya kuonyana, kushauriana, na hata kugombana kidogo ndiko kunakosababisha haya yote!

Wanasema Dr. Mkumbo ni mtu makini alah! Umakini wa upi huo??? Yeye hakushuka toka Mbinguni he is just a human being lakini pili ni umakini upi huo kuwa kimya wakati wote huo, mi nadhani umakini ni kujitokeza kama ambavyo amekuwa akifanya na kukanusha ama kukubali kwamba ni kweli alikuwa Uingereza tarehe zilizotajwa ama hakuwa huko hilo ni moja lakini pili Maneno hayo kama yamesemwa na aitwaye Mshauri Mkuu wa CDM better be called any other name manake huo mpasuko atakua kausababisha yeye sasa! Hata kama alikuwa na imani kama punje ya haradani kwa hao aliokuwa akizungumza nae haikumpasa kuwaeleza maneno hayo hata kidogo! Labda kama naye anahitaji nafasi hiyo ndo ameamua kutumia njia hiyo na atasababisha mpasuko kweli!
 

Ben,

Inaelekea hujui kilichotokea Zimbabwe bali unaongelea propaganda zilizopandikizwa na ZANU juu ya Twangarai!!
 
Weka habari hiyo hapa kama alivyosema..Weka link!
Hiyo uliyoweka hapo juu hamna kitu maana toka jana tumeidiscuss na kuona ni utunzi na usanii wa mtu!

utunzi kwa sababu this time inaihusu chadema yako na hupendi kuisikia au?
 
Nadhani Dr. Slaa bado yuko mioyoni mwa waTanzania,na vilevile Mbowe bado ana nafasi even after 2015 kiumri,halafu kama CCM wakiamua kuwachafua Dr. Slaa na Mbowe kwa maksudi then Mbowe is easily prey kwao kuliko Dr. Slaa.
 
Kama CDM wanataka kurudi kwenye ile miaka ya 1995 na 2000, then wasimsimamishe Dr. Slaa. Hata hivyo sidhani kama hizi cheap propaganda za Magamba zinaweza kuisambaratisha CDM!!
 

Mkuu nimekupatanimekuelewa

1. Nataka Slaa awe kama Morgan anayeonekanamachoni pa watu! na siyo Morgan aliyejificha, definitely I would not haveadvised Slaa to be like the Morgan Traitor.....

2. Umenichekesha kuona kuwa unawachukia wazungu kiasi hicho.....ila kwademokrasia wako mbali sanaingawa walitutawala na wanaendelea kututawala. Ila in real sense SITAKUJAKUWALAUMU wazungu kuja kututawala!!! maana hata sisi tungekuwa wazungutungewatawala wao, IT IS NATURAL. Ni kama swala anagoma asiliwe na simba wakati yumo mbugani This wasunavoidable....zile effects za UKOLONI WA KUZIONDOA NI SISI WENYEWE....kamaenzi hizo machifu waliuza ardhi...na miaka 60 baadae bado tunauza ardhi kwa haohao wazungu, what does that mean??

3. We are the one who make ourselves inferior, nchi za ASIAhazikutawaliwa?? what made them to compete with Europein almost everything? tell me...Tangu tumepata uhuru hatujajua athari za ukoloni?

1. Nani anapaswa abadilishe mitaala ya shule?
2. Go to judiciary system is totally british
3. Go to our bunge session and style..is totally British
4. Who encourages modernisation of western?? we are

British or Americans have nothing to do with our stupidity.....they did that because of survival of fittest…..todate we can not compete with them in almosteverything, why are we blaming them??

Does whites force you to spend time in Facebook, to watch CSI and 24 series??does whites forcing you to live and die with Premier league??

Tell me, what is that we are doing that whites are forcing us to do?? Wait a minute..does whites force us to beg them, to ask for aids..because we can not feed ourselves!!!! Just imagine the way we are multiplying and we can not even get our needs…yet this is muzungu's faults??

You know what Mr. Ben I can feel your anger and hatred towards these people but wont help!

WE MISSED LEADERS who knows our background, who can actually preserve our culture and history, we missed people who can actually let AFRICAN be african, like chinese, japanese etc.

We are the ones to be blamed we did not counter attacked the situation...we failed, we are failing and we may never recover ...AFRICANS IS NO MORE... with globalisation and science and technology AFRICA has collapsed

we were not ready for free market or globalisation, we are not READY even now!!!

WHAT SHOULD BE DONE IS TO CLOSE BOUNDARIES.......NEVER CONTACT WITH OTHER COUNTRIES..let dig, produce and eat what we have THAT IS THE ONLY SOLUTION APART FROM THAT WE WILL CONTINUE HATING WHITES FOR NO CAUSE...huwezi ukaona unakufa,chakula kiko africa ukae tu..kwa kuwa ukienda utaonekana m'baya




South africans are stronger today because once their boundaries was closed due to apartheid , they survived inspite of all difficulties of being excommunicated from other worlds

Ben......Slaa and you has to rise up...NO EXCUSE if we need to survive we need to learn from who survived....the problem is that we have not reached the industrial revolution...we have not even reached the 19th century...we are somewhere that our history will mock at us...WE ARE IN THE AGES WHERE OUR COUNTRY IS ACTUALLY A DUSTBIN...OF EVERY TECHNOLOGY AND LIFE STYLE FROM EUROPE ..oh! my God we can not blame white..Can we??
 
Una uhakika gani kwamba mshauri wa CHADEMA ameyasema hayo?

mbona ya ccm hata yakisemwa na msemaji wa ccm huwa hamuyataki na mnakujaga na yenu ambayo hata kama hakuna yeyote huko ccm aliyewaambia?iweje leo kwa kuwa ni la chadema ndio utafutwe ushahidi wa kimahakama..

All in all chadema si shwari lipo tatizo,lishughulikiwe mapema,otherwise mtaiua chadema kwa kuipenda kupita kiasi,mnaikumbatia sana mkidhani ndio kuonyesha mapenzi ya dhati kumbe mnaibana mpaka inakosa hewa ya kupumua matokeo yake ni kifo cha kawaida kama TLP ya mrema.

Tuwe fair,isiwe ni kwa ccm tu.
 

Kwanini tofauti zikitokea chadema mnazipaka mafuta mazuri ili zinukie na kuzipachika majina mazuri mazuri lakini tofauti hizo hizo za kimawazo na kimtazamo miongoni mwa makada wa ccm huwa mnaziita ni mpasuko tu?
 

Mpasuko kivipi???????????????

Ni kwamba hawa mabwana wawili wakiachwa yatazuka makundi mawili makubwa ndani ya iko chama chenu wewe,huo ndio mpasuko tunaousema ambao hata ccm ndio huo mnaoushabikiaga,mbona mnataka kurahisisha mambo ili tu kutimiza malengo ya mahaba yenu kwa iko chama?

Chadema kuna mpasuko wa makundi mawili yenye nguvu,kundi la slaa ambalo linaelewa kuwa na wakuja wengi ndani ya chadema na kundi la chairman Mbowe ambalo linaelezwa kuna na wanaokijua chama na wenye ushawishi wa kipesa
 
Haya haya nimeingia kati ya mjadala mzito sana ingawaje niukuta kati nitachangia niliyaona, experienced na mtazamo wangu. Kama kweli ndani ya Chadema kuna mpasuko baina ya Dr.Slaa na Mbowe nani atasimama mwaka 2015, basi hakika labda nizungumzie mapungufu yao kwa wakati huu.. Nasikitika tu kusema none of the above ataweza kutupa Ushindi isipokuwa tu kama yafuatayo yataweza kuepukwa.

1. Mbowe ni mwanasiasa mzuri sana pengine kuwashindwa wengi sana ndani ya CDM na pengine kiongozi mzuri wa chama ktk kujitolea, kufuatilia na kadhalika lakini hana mvuto mkubwa wa urais...He may make a good PM lakini hawezi kushinda uchaguzi kutokana na imani za watu wengi juu yake. Mbowe ameishi maisha ya kifahari na anajipenda ni vigumu sana kwa kiongozi kama mbowe kugombania maslahi ya maskini na wakamkubali kwa sababu siku zote mlalahoi atategemea kumwona mtu wa aina yake, aliyepitia machungu kama yake ndiye akigombea haki yao na sio mtu kutoka kundi jingine.. Hili ndilo tatizo kubwa la Mbowe.

2. Dr.Slaa kwa upande mwingine anakubalika sana na wananchi lakini pia jina lake limeshachafuliwa. Japookuwa ni siasa za majitaka, hizi tuhuma zinazojitokeza zisipopata majibu zitaendelea kuwajenga wananchi imani ya kuwa Dr.Slaa ni mtu wa aina gani. Mtazameni Lipumba huyu hana mke ila ana hawala tu tena wa Kichagga lakini hutasikia watu wakizungumzia hilo kwa sababu Lipumba amebeba ngao kubwa ya CV yake ktk uchumi na watu wengi wanaweza kumfanisha nao hivyo kumpiga madongo mtu kama huyu wanaona ni kumwonea wivu lakini sio Dr.Slaa...

Kama walivyosema waliotangulia ni muhimu kwa Dr.Slaa kuwa muwazi na kujitangaza sana, kujitenga na kanisa, kuondoa dhana aloijenga kwa waislaam wengi kwamba mashule yote na Hospitali ataziweka chini ya kanisa na kutoa huduma zote bure.. Maneno kama haya yanaposambaa kwa Waislaam yanawatisha zaidi na labda niseme tu kwamba ndio maneno yaliyosambaa ktk jumuiya ya waislaam - plse mark my word!.

Mwisho nasema hivi CDM wataweza tu kushinda uchaguzi wa mwaka 2015 ikiwa kutakuwepo uwezekano wa kuunda nguvu moja baina ya Dr.Slaa, Lipumba, Hamad Rashid, Mbowe, Zitto na wengineo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…