Mende mdudu
Senior Member
- Feb 13, 2023
- 197
- 405
Serikali ya Rwanda imetangaza kwamba iko katika mazungumzo ya awali na serikali ya Rais Donald Trump kuhusu kuwapeleka nchini Rwanda wahalifu waliokamilisha adhabu zao magerezani nchini Marekani. Kauli hii imezua maoni mseto nchini Rwanda na hata kwa africa mashariki watu wenye historia ya uhalifu.
Rwanda inafahamika ina kilometer chache za mraba, vipi kiusalama kwa nchi zenye maeneo makubwa yaliopakana na rwanda kama Congo na Tanzania?
Ni kama Kagame anajua kuchanga karata zake vizuri ?
Soma Rwanda kupokea wahamiaji haramu kutoka marekani