Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 5,381
- 6,890
Mtoto wake kashajiunga
Aende tu chauma akajilipe Ruzuku kama alivyokuwa anafanya CDM fedha anapewa na wafadhili mbalimbali wa nje na ndaji kisha anajifanya anakikopesha chama amepiga pesa sana.Nimekua nikitoa updates za Vita, basi leo niweze kuzungumza hili ili watu wajue maana mimi hufatilia kwa ukaribu siasa na hupata vyanzo vya uhakika.
Mpango ulikuwepo wa mbowe kujiunga chaumma imeshindikana. Pamoja na kushiriki ulaghai mwingi kwenye siasa lakini mpango huo wa kuhamia chaumma umeshindikana.
Wengi wanatarajia kesho ataibuka kwenye mkutano mkuu wa chaumma na kutangazwa kugombea uraisi, lakini ukweli hilo kesho halitakuwepo. Nimeona niwaweke wazi hili ili watu wasiendelee kusubiri hiyo kesho kijua mbivu na mbichi
Mbowe ana karama ya uongozi kuliko kina Lissu na genge lakeNimekua nikitoa updates za Vita, basi leo niweze kuzungumza hili ili watu wajue maana mimi hufatilia kwa ukaribu siasa na hupata vyanzo vya uhakika.
Mpango ulikuwepo wa mbowe kujiunga chaumma imeshindikana. Pamoja na kushiriki ulaghai mwingi kwenye siasa lakini mpango huo wa kuhamia chaumma umeshindikana.
Wengi wanatarajia kesho ataibuka kwenye mkutano mkuu wa chaumma na kutangazwa kugombea uraisi, lakini ukweli hilo kesho halitakuwepo. Nimeona niwaweke wazi hili ili watu wasiendelee kusubiri hiyo kesho kijua mbivu na mbichi
Leo hii unataka kupambana na mungu wako 😂Chadema itapambana na kila atakayekengeuka bila kuangalia sura ya mtu
Chadema ina mapengo haina menoChadema itapambana na kila atakayekengeuka bila kuangalia sura ya mtu
Atakuwa ni kiongozi wa Upinzani wa HOVYO kupata kutokea tangu 1992 tulivyoasisi vyama vingi nchiniNimekua nikitoa updates za Vita, basi leo niweze kuzungumza hili ili watu wajue maana mimi hufatilia kwa ukaribu siasa na hupata vyanzo vya uhakika.
Mpango ulikuwepo wa mbowe kujiunga chaumma imeshindikana. Pamoja na kushiriki ulaghai mwingi kwenye siasa lakini mpango huo wa kuhamia chaumma umeshindikana.
Wengi wanatarajia kesho ataibuka kwenye mkutano mkuu wa chaumma na kutangazwa kugombea uraisi, lakini ukweli hilo kesho halitakuwepo. Nimeona niwaweke wazi hili ili watu wasiendelee kusubiri hiyo kesho kijua mbivu na mbichi
Viongozi sio wengi!Chaumma ni kweli itapata wafuasi wengi kutoka chadema ila zaidi watakua ni viongozi tu, sababu wana masilahi yao binafsi, wanayasaka kwa namna yoyote. Ila wafuasi wa chadema wa kweli hawawezi kuhama sababu chadema kwao ni kama imani. Sawa na Mfuasi wa HAMAS
Hata lissu akizingua tunaye,Si zama za kuabudu mtu tena.Tutakujaji kwa mwendo wako maana tumeachwa mdomo wazi sana na wale ambao hatukuwahu kudhani kama wanaweza kuweka ubinafsiChadema itapambana na kila atakayekengeuka bila kuangalia sura ya mtu
Wanainch kiujmlaChadema ni nani? Yaani ukisikia Chadema, nani au kina nani wanakuja kwenye akili?