Sajo
Platinum Member
- Nov 8, 2010
- 4,177
- 7,281
Wafuasi watapatikana hata wasio viongozi. Ni kawaida kwa Chama kinachoanza kujitutumua, kupigwa spana na vyama viivyojipata. Hata ACT ilianza bila wafuasi lakini kwa sasa unaona inasimamisha wagombea kila kata. Wananchi wataizoea tu CHAUMMA na kwenda hukoChaumma ni kweli itapata wafuasi wengi kutoka chadema ila zaidi watakua ni viongozi tu, sababu wana masilahi yao binafsi, wanayasaka kwa namna yoyote. Ila wafuasi wa chadema wa kweli hawawezi kuhama sababu chadema kwao ni kama imani. Sawa na Mfuasi wa HAMAS