Elections 2010 Mpango wa kubadilisha matokeo ya Uchaguzi kweli umeandaliwa

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,009
2,171
Wana Jamii, Leo hii nimesikiliza majibu ya mkuu wa Tume ya uchaguzi juu ya malalamiko ya vyama vya upinzani specifically CHADEMA, kwamba usalama wa Taifa pamoja na tume wanacheza na daftari la wapiga kura ili liisaidie CCM kushinda ktk uchaguzi ujao.

Ktk majibu kupitia BBC tume inasema waliojiandikisha ni milioni 19 na zaidi (sikumbuki exact figure aliyotaja). Lakini Mkurugenzi wa shughuli za uchaguzi wa CHADEMA, Prof. Baregu, anasema figure kama hiyo ni ya kupika makusudi kabisa. Akimaanisha Tanzania iliyo na watu kama milioni 37 haiwezi kuwa na idadi ya wapiga kura inayofikia milioni19.

Kwangu mimi pia hii imenigusa maana sasa naona kweli tunachezewa. Kusema milioni 19 maana yake ni kwamba ~ nusu ya wa TZ wamejiandikisha kupiga kura. Ni ajabu maana kama ni hivyo hata watoto wamejiandikisha.

Ukurasa wa National Bureau of Statistics upande wa Mainland, update ya 2009:

http://www.nbs.go.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=105&Itemid=109

Unaonyesha kwamba watoto wenye miaka 0-14 ni 44.2% na umri wa 15-64 ni 51.8%. Ina maana zaidi ya nusu ya wa TZ ni watoto (chini ya miaka 18). Mara nyingi inakubalika kusema wako ~60% na watu wazima ni40%.

Katika uchaguzi huu si watu wazima wote waliojiandikisha. Hebu tuseme 70% ya watu wazima. Ktk hali kama hiyo tume inatoa wapi idadi ya ~milioni 19?

CHADEMA wako sahihi. Tume inaongeza idadi nadhani ziada itatumika kujazia kura za jumla kwa mgombea anayehangaikiwa. Obviously ni wa CCM.

Hapa ni kama wanataka tuamini idadi ya wa-TZ ni ~milioni 50! Nonsense!

Wana habari tafuteni undani wa mambo haya kwa mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi.
 
Matokeo ya hiyo research group nyingine nayo itaongeza balaa la wasi wasi.
 
Safari hii patachimbika. Wakiongeza na sisi pia tutaongeza. Mwaga mboga namwaga ugali.
 
Safari hii patachimbika. Wakiongeza na sisi pia tutaongeza. Mwaga mboga namwaga ugali.

thubutu..mtazichimba kibodi zenu, jeshi la ulinzi lipo imara kudeal na ninyi...too bad hampo bongo kupata moshi wa moto mnao uchokonoa.
 
according to the figures from nbs TZ will have 41.2 mio. people by now na si 43 kama msimamizi alivyosema na kama ni 41.2 mio. haiwezekani kukawa na wapiga kura 19 mio. hapa kuna utata! Katika chaguzi kama za Tanzania huwa kuna mpk 10% ya watu wasiojiandikisha ukichukulia ukiritimba wa serukali ilivyokataa kutoa mwamko unaopaswa kujiandikisha wananchi maana zoezi lilienda kisiri siri sana na ukizingatia kupiga kura si compulsory kisheria kama nchi nyingine!
 
mtu anayeishi hapa nyumbani hawezi kushabikia kupachimba kama yupo hapa ni mwehu.
hahaha hahaha ninyi ccm ndio mnapanga massacare ya watanzania.
haya niambie hao green guards kuwapatia mafunzo ya combat ndo ishara gani?
Mmepiga watu mara bado hamuoni aibu. mmevuruga mkutano wa mbowe kule hai lakini mwajiona mwafaa.

Nendeni kuzimu laana ninyi.
Mnawadhulumu na kuwapiga wazee wanaodai haki zao. sembuse kura zetu si mtatuua ninyi?
 
thubutu..mtazichimba kibodi zenu, jeshi la ulinzi lipo imara kudeal na ninyi...too bad hampo bongo kupata moshi wa moto mnao uchokonoa.

wavaa vipini masikioni mna kazi sana..akina ben kinyaiya dot com
 
hahaha hahaha ninyi ccm ndio mnapanga massacare ya watanzania.
haya niambie hao green guards kuwapatia mafunzo ya combat ndo ishara gani?
Mmepiga watu mara bado hamuoni aibu. mmevuruga mkutano wa mbowe kule hai lakini mwajiona mwafaa.

Nendeni kuzimu laana ninyi.
Mnawadhulumu na kuwapiga wazee wanaodai haki zao. sembuse kura zetu si mtatuua ninyi?

kaka upo?pole na majukumu
 
na bado ninausongo sana na wale mabaunsa wa billz, mlizoea kuonewa huruma mwaka huu mkileta choko mnashughulikiwa.
p.s
Hongera kwa kuongoza kwenye polls zisizo CHAKACHULIWA.
 
Mawakala sawa, ya Kivuitu na Mwai huko Kenya na NEC yetu kuna tofauti?
 
Hawa NEC wananifurahisha sana sasa kama kila eneo litatangaza matokeo yake ya wapiga kura sasa iyo excess si itaonekana wazi au watasema hawakujitokeza?
 
Back
Top Bottom