Mpango maalum wa CCM kuhusu madiwani wa CHADEMA

Mpango maalum wa CCM kuhusu madiwani wa CHADEMA

Ulimwambia nani wewe juha,coment zako wewe ni kama mchawi unamulika mchana usiku unachoma kilaza wewe.

I have reported your remarks to mods and you will be treated accordingly.

Safi sana, mpango mzuri na umeenda shule. Mimi niliwaambia Chadema, kwa kuwafukuza madiwani wanajichimbia kaburi lao wenyewe, sasa yanawakuta ya kuwakuta.

masaburi yako

Safi sana, mpango mzuri na umeenda shule. Mimi niliwaambia Chadema, kwa kuwafukuza madiwani wanajichimbia kaburi lao wenyewe, sasa yanawakuta ya kuwakuta.

Mkuu nilikuwa naheshimu sana comments zako, kumbe sikujua kama kulikuwa na kaupumbavu kanakusumbua. CHADEMA hawakuwafukuza madiwani ili washinde umeya, wala kushinda viti vya udiwani tena. CHADEMA wamewafukuza madiwani kwakukiuka maamuzi halali ya kamati kuu kwa makusudi. Kwa sababu hiyo, ni heri wamewafukuza ili nidhamu ikabaki kwenye chama. Suala kushinda lipo kwa wapiga kura. Kufungua kesi mahakamani ni haki yao kama wanaona wameonewa, la msingi ni kwamba tumewafukuza kwenye chama makini. Hata hivyo itakuwa ngumu kushinda kesi, kwani hawakufukuzwa kwa kuingia muafaka, bali kukiuka kanuni. Hatuna haja ya umeya, tuna haja ya haki na usawa.

Mimi si mwanasheria lakini pia nijuacho ni kuwa Chadema walichofanya ni sahihi kwa maana ya kwamba, TATIZO LA CHADEMA SI UDIWANI WALA UMEYA...TATIZO LAO NI HAKI ITENDEKE. Na katika kutenda haki kuna gharama zake. Sioni watakachopoteza Chadema zaidi ya kuwa waadilifu.
Mini nawaunga mkono kwa wazo lao 100%. Sioni ni vipi wangeshughulikiwa watu hao zaidi ya kuwafukuza.

Ninachoomba ndugu zangu lazima tufike mahali kuacha kufikiri ki-CCM-CCM.

Tufikiri kiuzalendo-zalendo zaidi hata kama kuna gharama za kulipa, haki itendeke!

Inasikitisha jinsi gali ulivyo haujui sheria na kanuni za kumfanya mtu awe diwani au kiongozi wa nchi.
-kwanza kabisa nchi yetu haitambui mgombea binafsi, ingawa mtikila alijitahidi kulipigania hilo,
kwa maana hiyo hakuna kiongozi yoyote (Diwani, Mbunge na Rais) atakayeendelea kuwa na cheo hicho kama
si mwanachama wa chama chochote cha siasa kinachotambulika kisheria.
-Chadema hawakuwafukuza udiwani (rejea tamko la Mhe: Mbowe), walichofanya ni kuwavua uwanachama wa chama cha Chadema.
kwakuwa sheria za nchi hazitambui mgombea binafsi, basi madiwa wanakuwa wamevuliwa udiwani wao.
-Chadema ilichokifanya kwa mujibu wa kanuni na sheria ni kuandikia mamlaka husika na kuwataarifu kuwa diwani Mallah, Bayo, Ngowi,
Mpanda na Rehema si wanachama wa Chadema.
-Kamati kuu ya Chadema inayo mamlaka yakumvua mwanachama yoyote atakayeenda kinyume na sera za chama.
-Madiwani wote kwa wingi wao wamevuliwa uwanachama na hawawezi kuingia kwenye kikao chochote cha madiwani kwakuwa si wanachama
wa chadema chama ambacho kiliwapa ridhaa ya uongozi.
-Mwisho, Meya hawezi kuchaguliwa kwani sheria zinasema anatakiwa achaguliwe na 2/3 ya madiwani wote, ukitoa madiwani waliofukuzwa
na madiwani waliobaki wa chadema ambao wameazimia kugomea vikao hadi muafaka ufikiwe, madiwani waliobaki hawafikishi idadi inayotakiwa.

Naomba kuwakilisha.
Inaonekana ni jinsi gani ulivyomakini sana nimefurahishwa na ufafanuzi wako na hii ni message sent kwa Magamba. Japokuwa kuku mgeni hakosi kamba mguuni ( Join Date : 12th January 2011 Posts 7: Rep Power : 0 ) karibu sana hapa jamvini. Kwa taarifa yako ikiwa CCM watazuia uchaguzi wa Meya na Madiwani Arusha usifanyike tutaandamana hadi kieleweke.

masaburi yako

It's upon mods to decide the scale of punishment to be imposed on you. I have suggested a life time ban, only then you will learn to behave and respect the elders.

It's upon mods to decide the scale of punishment to be imposed on you. I have suggested a life time ban, only then you will learn to behave and respect the elders.
Mbona hata hivyo kakustahi sana kutumia neno Masaburi makalio ndilo linakufaa zaidi.

• Thanks
Reactions: jcb
CHADEMA wamejenga taswira nzuri kwa kuwafukuza madiwani walio asi lakini kwa upande wa pili wamejipa mtihani mgumu hapo baadae. Inawezekana imekuwa hivi: Mgome alafu watawafukuza, wakishawafukuza nendeni mahakamani, kesi itacheleweshwa na nyie mtaendelea kuwa madiwani halali, wakati kesi inaendelea CCM wataridhia kurudia uchaguzi wa MEYA, wakati wa kupiga kura madiwani waliofukuzwa watawapigia CCM.

na wakidfanya hivyo ndipo watakapokuwa wametuthibitishia kuwa kweli walihongwa

CHADEMA wamejenga taswira nzuri kwa kuwafukuza madiwani walio asi lakini kwa upande wa pili wamejipa mtihani mgumu hapo baadae. Inawezekana imekuwa hivi: Mgome alafu watawafukuza, wakishawafukuza nendeni mahakamani, kesi itacheleweshwa na nyie mtaendelea kuwa madiwani halali, wakati kesi inaendelea CCM wataridhia kurudia uchaguzi wa MEYA, wakati wa kupiga kura madiwani waliofukuzwa watawapigia CCM.

nadhani magamba pamoja na mtoa mada bado hawajajua cdm wanataka nini! Cdm hawataki wapate umeya ila wanataka taratibu za uchaguzi wa meya zifuatwe! Kwa hyo hata kama hao wasaliti watampigia kura diwan wa magamba cdm haina neno ilimrdi taratibu zimefuatwa!
mimi naona huo mpango wao hauna mashiko....!

hakuna hoja hapa, ni kujadili majungu tu, nani kakuambia target ya chama ni kupata umeya? kama mtu ni msaliti wa chama unategemea nn hapo

Safi sana, mpango mzuri na umeenda shule. Mimi niliwaambia Chadema, kwa kuwafukuza madiwani wanajichimbia kaburi lao wenyewe, sasa yanawakuta ya kuwakuta.
haya hao hata bila kuwafukuza ni madiwani wa ccm kwa hiyo baada ya kuwafukuza wanakuwa madiwani wa ccm na mahakama siyo wa wapiga kura wa a city nendeni mkafe nao na mahakamA zenu za kinafiki yatawakuta ya mubarak

magamba hivi wameomuongezea "jitu kubwa" siku zingine ngapi vile??????? eti magamba mliopo humu nambieni.

CHADEMA wamejenga taswira nzuri kwa kuwafukuza madiwani walio asi lakini kwa upande wa pili wamejipa mtihani mgumu hapo baadae. Inawezekana imekuwa hivi: Mgome alafu watawafukuza, wakishawafukuza nendeni mahakamani, kesi itacheleweshwa na nyie mtaendelea kuwa madiwani halali, wakati kesi inaendelea CCM wataridhia kurudia uchaguzi wa MEYA, wakati wa kupiga kura madiwani waliofukuzwa watawapigia CCM.
Layman solution.

Back
Top Bottom