Tutachangia Uzi ukiwa tayari...ππHey people,
Title inajielezea,msinifokee nina mimba changa bado, huu ni muendelezo wa uzi π
Hellow people,
Uzi ni kwa wale wanaopenda kuweka akiba
Nitaelezea kwa experience yangu na vile huwa nafanya
Vitu vya kuwa navyo
Notebook (Daftari)
Hii ni ya kuandika mapato na matumizi yako ya kila siku(Mali bila daftari huisha bila habari)
Bahasha
Kwa kugawanya matumizi yako kwa vitengo maalum. kila bahasha ina kazi yake mfano bahasha moja unaandika sadaka,dharula,chakula,nauli
Hatua za kufuata
1. Andika mapato yako
Mfano mshahara wako ni TSh 2,800,000 toa 1,800,000 iweke pembeni usisubiri mpaka mwezi uishe
2. Gawa salio lililobaki kwa bahasha(1,000,000...
- Joanah
- Replies: 548
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Uzi bado
πππTutachangia Uzi ukiwa tayari...ππ
Hongera mkuuπ
Mimi sina mpangilio wowote.Hey people,
Title inajielezea,msinifokee nina mimba changa bado, huu ni muendelezo wa uzi π
Hellow people,
Uzi ni kwa wale wanaopenda kuweka akiba
Nitaelezea kwa experience yangu na vile huwa nafanya
Vitu vya kuwa navyo
Notebook (Daftari)
Hii ni ya kuandika mapato na matumizi yako ya kila siku(Mali bila daftari huisha bila habari)
Bahasha
Kwa kugawanya matumizi yako kwa vitengo maalum. kila bahasha ina kazi yake mfano bahasha moja unaandika sadaka,dharula,chakula,nauli
Hatua za kufuata
1. Andika mapato yako
Mfano mshahara wako ni TSh 2,800,000 toa 1,800,000 iweke pembeni usisubiri mpaka mwezi uishe
2. Gawa salio lililobaki kwa bahasha(1,000,000...
- Joanah
- Replies: 548
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Uzi bado
Mimi sina mpangilio wowote.
Pesa zitatumika kadri zinavyokuja.
Sina huruma kwenye matumizi ya pesa.
Ukipata pesa zitumie kwa fujo zoteHii sio hatari kweli? π
Mimba changaππEnhe ya nini hongera π
We jamaa kumbe umejificha huku π€ π€ ππMimba changaππ
Hiko ni kibwagizo tu πMimba changaππ
Madogo hayo mara nyingi ni kwenye nini?Mimi sinaga matumizi makubwa kiasi cha kusema niorodhe(ze)she kiivo.
Ulijihakikishia huyo uliyemwamini, anaaminika katika kulea na kutunza mtoto hadi apate PhD?Hey people,
Title inajielezea,msinifokee nina mimba changa bado, huu ni muendelezo wa uzi π
Hellow people,
Uzi ni kwa wale wanaopenda kuweka akiba
Nitaelezea kwa experience yangu na vile huwa nafanya
Vitu vya kuwa navyo
Notebook (Daftari)
Hii ni ya kuandika mapato na matumizi yako ya kila siku(Mali bila daftari huisha bila habari)
Bahasha
Kwa kugawanya matumizi yako kwa vitengo maalum. kila bahasha ina kazi yake mfano bahasha moja unaandika sadaka,dharula,chakula,nauli
Hatua za kufuata
1. Andika mapato yako
Mfano mshahara wako ni TSh 2,800,000 toa 1,800,000 iweke pembeni usisubiri mpaka mwezi uishe
2. Gawa salio lililobaki kwa bahasha(1,000,000...
- Joanah
- Replies: 548
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Uzi bado
Kwa siku:Madogo hayo mara nyingi ni kwenye nini?
Kwa siku:
Nauli kwenda na kurudi, chai, msosi wa mchana na jioni(hapa itategemea kama ntapika au ntanunua)
Kwa mwezi:
Bill ya maji, umeme, router, kodi & king'amuzi.
Kwenye kufanya vitu vya maendeleo hapo inategemea.
Matumizi yasiyo rasmi ndo zile kama kunyonga Totoz, mara moja moja napiga maji.