Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,109
- 18,326
Kama Nyerere angejenga taasisi Imara na demokrasia Imara, na viongozi wakapatikana kwa haki bila dhuruma kama hapo chini, nchi hii invekua leo zaidi ya nchi zinazo onekana zipo na maendeleo
Utabiri wangu nilio uona leo nikiwa nimesinzia huko visiwani unguja nikipunga upepo.
1961- 1975: JK Nyerere
1975-1980: Osca Kambona
1980-1985: Bibi Titi
1985-1990: Sinde warioba
1990-1995: Ali Hassan Mwinyi
1995-2000: Ahamed Salim
2000-2005: Benjamini Mkapa
2005-2010: Edward Lowassa
2010-2015: JM Kikwete
2015-2020: JP Magufuli
2020-2025: Tundu lissu
2025-2030: Zito kabwe
2030-2035: January Makamba.
Utabiri wangu nilio uona leo nikiwa nimesinzia huko visiwani unguja nikipunga upepo.
1961- 1975: JK Nyerere
1975-1980: Osca Kambona
1980-1985: Bibi Titi
1985-1990: Sinde warioba
1990-1995: Ali Hassan Mwinyi
1995-2000: Ahamed Salim
2000-2005: Benjamini Mkapa
2005-2010: Edward Lowassa
2010-2015: JM Kikwete
2015-2020: JP Magufuli
2020-2025: Tundu lissu
2025-2030: Zito kabwe
2030-2035: January Makamba.