Kama Nyerere angejenga taasisi Imara na demokrasia Imara, na viongozi wakapatikana kwa haki bila dhuruma kama hapo chini, nchi hii invekua leo zaidi ya nchi zinazo onekana zipo na maendeleo
Utabiri wangu nilio uona leo nikiwa nimesinzia huko visiwani unguja nikipunga upepo.
1961- 1975: JK Nyerere
1975-1980: Osca Kambona
1980-1985: Bibi Titi
1985-1990: Sinde warioba
1990-1995: Ali Hassan Mwinyi
1995-2000: Ahamed Salim
2000-2005: Benjamini Mkapa
2005-2010: Edward Lowassa
2010-2015: JM Kikwete
2015-2020: JP Magufuli
2020-2025: Tundu lissu
2025-2030: Zito kabwe
2030-2035: January Makamba.
Magufuli angeharibu yote yaliyofanywa na watangulizi wake....Magufuli hakutakiwa kutawala katika karne ya 21..karne ya 21 haihitaji mtu mshamba na asiyependa demokrasia...pia ni karne ya utandawazi...huwezi kuwadanganya watu na yeye Magufuli Ana kipaji kikubwa Cha kusema uongo.
Kwa kuwa it is just a wish no further commentKama Nyerere angejenga taasisi Imara na demokrasia Imara, na viongozi wakapatikana kwa haki bila dhuruma kama hapo chini, nchi hii invekua leo zaidi ya nchi zinazo onekana zipo na maendeleo
Utabiri wangu nilio uona leo nikiwa nimesinzia huko visiwani unguja nikipunga upepo.
1961- 1975: JK Nyerere
1975-1980: Osca Kambona
1980-1985: Bibi Titi
1985-1990: Sinde warioba
1990-1995: Ali Hassan Mwinyi
1995-2000: Ahamed Salim
2000-2005: Benjamini Mkapa
2005-2010: Edward Lowassa
2010-2015: JM Kikwete
2015-2020: JP Magufuli
2020-2025: Tundu lissu
2025-2030: Zito kabwe
2030-2035: January Makamba.
Unatumia kinywaji gani wewe hata hueleweki.Kama Nyerere angejenga taasisi Imara na demokrasia Imara, na viongozi wakapatikana kwa haki bila dhuruma kama hapo chini, nchi hii invekua leo zaidi ya nchi zinazo onekana zipo na maendeleo
Utabiri wangu nilio uona leo nikiwa nimesinzia huko visiwani unguja nikipunga upepo.
1961- 1975: JK Nyerere
1975-1980: Osca Kambona
1980-1985: Bibi Titi
1985-1990: Sinde warioba
1990-1995: Ali Hassan Mwinyi
1995-2000: Ahamed Salim
2000-2005: Benjamini Mkapa
2005-2010: Edward Lowassa
2010-2015: JM Kikwete
2015-2020: JP Magufuli
2020-2025: Tundu lissu
2025-2030: Zito kabwe
2030-2035: January Makamba.
Lowasa hata agombee Leo kupitia ccm hawezi shinda. Jamaa anaudini Sana enzi zile aliwaambia wakkkt wenzake kuwa "hii ni zamu yetu wkkkt" hivyo hafai kuwa raisi. Muslims & Catholic tangu rais was Kwanza hadi sasa.
Benard Membe vpKama Nyerere angejenga taasisi Imara na demokrasia Imara, na viongozi wakapatikana kwa haki bila dhuruma kama hapo chini, nchi hii invekua leo zaidi ya nchi zinazo onekana zipo na maendeleo
Utabiri wangu nilio uona leo nikiwa nimesinzia huko visiwani unguja nikipunga upepo.
1961- 1975: JK Nyerere
1975-1980: Osca Kambona
1980-1985: Bibi Titi
1985-1990: Sinde warioba
1990-1995: Ali Hassan Mwinyi
1995-2000: Ahamed Salim
2000-2005: Benjamini Mkapa
2005-2010: Edward Lowassa
2010-2015: JM Kikwete
2015-2020: JP Magufuli
2020-2025: Tundu lissu
2025-2030: Zito kabwe
2030-2035: January Makamba.
Tumbafu,hiyo tundu lisu iondoe tu,alafu weka mjomba wako
Aiseeeee kumbe ndoto yako ilikuwa inaangalia sura ya mtu..ndoto mbaya sana hiyo..umechanganya mafisadi na wazalendo duuuu..ila mpangilio wako upo kijanja...yaani kuna kipindi pesa inatengenezwa na kuna kipindi cha kupiga hela...hahahahah..nchi itaendelea vipi kwa style hii weweeKama Nyerere angejenga taasisi Imara na demokrasia Imara, na viongozi wakapatikana kwa haki bila dhuruma kama hapo chini, nchi hii invekua leo zaidi ya nchi zinazo onekana zipo na maendeleo
Utabiri wangu nilio uona leo nikiwa nimesinzia huko visiwani unguja nikipunga upepo.
1961- 1975: JK Nyerere
1975-1980: Osca Kambona
1980-1985: Bibi Titi
1985-1990: Sinde warioba
1990-1995: Ali Hassan Mwinyi
1995-2000: Ahamed Salim
2000-2005: Benjamini Mkapa
2005-2010: Edward Lowassa
2010-2015: JM Kikwete
2015-2020: JP Magufuli
2020-2025: Tundu lissu
2025-2030: Zito kabwe
2030-2035: January Makamba.
Hivi watu wanawaza hata mafisadi wapewe nchi wajameni wajameni wajameniLowasa hata agombee Leo kupitia ccm hawezi shinda. Jamaa anaudini Sana enzi zile aliwaambia wakkkt wenzake kuwa "hii ni zamu yetu wkkkt" hivyo hafai kuwa raisi. Muslims & Catholic tangu rais was Kwanza hadi sasa.
linganisha sifa kubwa aliyo nayo Edo kama unamjua vizuri kiasi cha kumpa urais nchi hii.nipe majibu haraka kabla hujanichafulia sikuEdo alitakiwa achukua kwa mkapa.. alikuwa na vision nzuri sana. Nchi ambayo edo angeikuta invekua tayari imetengenezwa na kina kambona na ahamed salim pamoja na mkapa. Kambona alikua na mambo mazuri ila nyerere alishikilia ujamaa wake
Vision ipi. embu.fafanua...jombaEdo alitakiwa achukua kwa mkapa.. alikuwa na vision nzuri sana. Nchi ambayo edo angeikuta invekua tayari imetengenezwa na kina kambona na ahamed salim pamoja na mkapa. Kambona alikua na mambo mazuri ila nyerere alishikilia ujamaa wake
Mmepotea , yule ni chaguo la Mungu....hata mfanyeje hamwezi shindani na Mungu wa Mbinguni"Magufuli hakutakiwa awe Rais baali alitakiwa aendelee kuwa MNYAPARA wa kusimamia mabarabara na kukariri idadi ya dagaa na samaki kwenye.maziwa na bahari zetu..." Nukuu mujarabu toka kwa hayati Mzee Kingunge.