Mpangaji wa Mikakati Dhidi ya TEC na Fr. Kitima atambulika

Mpangaji wa Mikakati Dhidi ya TEC na Fr. Kitima atambulika

Mimi ningeshauri kanisa katholiki lichunguze kwa makini hawa waasi, kama kweli ni wakatholiki,watengwe kabisa wao nafamilia zao mpaka ndugu wa ukoo mzima.hata kama kuna mwanafamilia anayesomesha katika shule zao piga mkasi wote ili akili ziwarudi
 
Kanisa Katoliki halijajengwa katika kutegenea uwezo wa mtu as individual Lina simama peke yake kama juridical person mwenye Mamlaka yote , mafundisho, kanuni n.k. Ni complete set.
Wote walio ndani yake wanapaswa kuishi, kufundisha kile kanisa inachotaka. Kama hukubali unaachana nalo. Hivyo hakuna mtu as individual anaweza finyanga kanisa vile atakavyo.

Hawa wanakosea either Kwa kutojua au kiburi Cha madaraka Kwa kupamba na mtu as individual wakifikiri wanaweza kulishape Kanisa vile wapendavyo wa kipamba na na Kitima na maaskofu. Kanisa ni lilelile yeyote atakaye Kuja anelelewa kufwata misingi ya Kanisa juu ya maadili na mwendo utakuwa uleule, akienda kinyume mfumo unamtema.

Ni kupoteza muda kupambana na individual ukidhani utalibadili Kanisa. Hata umteke Papa zikipita siku kadhaa bila tumaini Makardinali wanamchagua Papa mwingine yule mliyebaki naye si Papa tena Kanisa linasonga mbele. Mbio za sakafunu hizi.
 
GT

Kwa ufupi sana

1. Ni kweli ludovick ni mkatoliki lakini ni msaliti kama yuda

2.Alisoma mpaka ngazi ya frateri ambayo ni ngazi ya juu kabisa kuelekea upadri.

3. Alifukuzwa na kushindwa kupata daraja takatifu la upadre.

4 Ludovick ana kisasi na kanisa kisa kufukuzwa kwa utovu wa nidhamu seminarini.

5. Kasoma na watu wengi wanaomjua.ni kanjanja toka akiwa seminarini.

6. Alishawahi kuwa CHADEMA baadae akafungwa kwa makosa kadhaa sasa haijulikani ana kazi gani.

7. Press yake inaonekana kuandakiwa na mamlaka..

8. Ludovick anaonekana hana kazi ya maana anatangatanga tu huku na kule kupata chochote kitu

Watz Taifa limefika hatua mbaya sana haiajawahi kutokeankatika historia ya Tanzania.

View attachment 3522958
Naona mnaanza characters assassination baada ya kushindwa kujibu hoja zake! Hoja hujibiwa Kwa hoja, lakini kutokana na uwezo wenu mdogo mnaanza Kupiga zogi sasa na propaganda zenu za kipuuzi
 
Migulu anafikiria atapita yeye kuwa mgombea 2030......never unatumika tu condom
 
Mwigulu Nchemba alimtumia Ludovick kumtengenezea Wilfred Lwakatare kesi ya mchongo ya Ugaidi sasa anamtumia mtu huyohuyo kuanzisha vita na Kanisa Katoliki. Samia baada ya kushindwa kuwatumia Waislamu wenzake uchwara kulipiga vita Kanisa Katoliki sasa ameamua kuwatumia Wakristo uchwara kufanya kazi hiyo na aliyepewa jukumu hilo ni huyu mjivuni Mwigulu Nchemba.
Mwigulu ana siasa za kishamba sana. Na hata humu jukwaani amejaza chawa wake wa kutosha tu ili kuisafisha serrikali yao ya kihuni, na pia kulichafua Kanisa Katoliki.

Ni suala tu la muda kabla ya hii project yao kubuma kama ilivyo tokea kwa ile nyingine ya udini.
 
Rais wa mawe anaamini akiihijumu TEC KKKTwatapanda chat!
Kama anaamini yeye basi ni yeye na yeyote mwingine lakini sio KKKT kama taasisi ya kidini.
Ndani ya Kanisa la Kiluteri yaani KKKT hakuna anayemuunga mkono mtu aungaye mkono mauaji, uongo na ufisadi
 
Migulu anafikiria atapita yeye kuwa mgombea 2030......never unatumika tu condom
Asichokijua Mwigulu ni kuwa kabla ya katiba mpya inatumika hii hii. Na akumbuke ya March 2021, hivyo yakitokea yale ya 2021 yule mwanafunzi wa seminari anashika usukani wa hili Gari bovu na kabla ya kupeleka gareji kufanyiwa overhaul (katiba) atahakikisha atamtupa kwenye dustbin na kusahaulika.
Ushamba unampoteza Madilu
 
Mseminari mkimya ila anajua sana fitna za kimya kimya......na mafia mno sana tu...acha muda taonfea huýu ropo ropo mateka ya kizmkz.....hajui siri kuuu iliyopo jk na kiz...
 
Anatumia rasilimali za nchi kutaka kuvuruga Kanisa Katoliki.

Lakini kwa vile limejengwa katika misingi imara atafeli tuu, ndipo atahamishia kwa wasema ukweli wengine.

Tujihadhari naye na kuchimba historia yake.

View attachment 3522973
View attachment 3522979
ANATAKIWA KUKUMBUKA KUWA MKRISTU ANAPOTOA SADAKA ANAAMINI ANAMTOLEA MUNGU.
KWA HIYO SIYO SAHIHI KUDAI TAARIFA YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MUNGU KAMA ALIVYODAI YEYE KUWA KANISA KATOLIKI HUWA HAWAWASOMEI MAPATO NA MATUMIZI.
HALI KADHARIKA UNAPOTOA MSAADA AU SADAKA KWA MTU HUTAKIWI KUDAI UELEZWE NAMNA MSAADA HUO ULIVYOTUMIKA.
 
GT

Kwa ufupi sana

1. Ni kweli ludovick ni mkatoliki lakini ni msaliti kama yuda

2.Alisoma mpaka ngazi ya frateri ambayo ni ngazi ya juu kabisa kuelekea upadri.

3. Alifukuzwa na kushindwa kupata daraja takatifu la upadre.

4 Ludovick ana kisasi na kanisa kisa kufukuzwa kwa utovu wa nidhamu seminarini.

5. Kasoma na watu wengi wanaomjua.ni kanjanja toka akiwa seminarini.

6. Alishawahi kuwa CHADEMA baadae akafungwa kwa makosa kadhaa sasa haijulikani ana kazi gani.

7. Press yake inaonekana kuandakiwa na mamlaka..

8. Ludovick anaonekana hana kazi ya maana anatangatanga tu huku na kule kupata chochote kitu

Watz Taifa limefika hatua mbaya sana haiajawahi kutokeankatika historia ya Tanzania.

View attachment 3522958
Za ndani inasemekana lipo tiss! Ulofa na upumbafu tu
 
maCCM ni majinga sana
1767175451496.jpg

damu zisizo na hatia zinanena
 
Kwahiyo baada ya kulibananga kanisa ndio ameenda kupewa bahasha Kwa malipo ya yuda iskariote? Maiti yake itasaliwa na mbweha.
Kama vile wengine wanavyofanya, wakisha fanya yao wanaenda kuchukua malipo kwa wanao watuma
 
Naona mnaanza characters assassination baada ya kushindwa kujibu hoja zake! Hoja hujibiwa Kwa hoja, lakini kutokana na uwezo wenu mdogo mnaanza Kupiga zogi sasa na propaganda zenu za kipuuzi
1767175293080.jpg
unajibu hoja gani hapo jibu sahihi ni lofa
 
Si huwa mnasema dola ni kubwa na imo mpaka ndani ya dini na madhehebu yake, huenda huyu ni mtu wa system aliyepo ndani ya dhehebu hilo, anajua kila kitu kilichomo humo. Hii ndiyo ile dhana ya mbwa mwitu aliyejivika ngozi ya kondoo katikati ya kundi la kondoo!
 
Back
Top Bottom