StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 6,889
- 8,283
Ulikubali ombi lake papo hapo?. Ulijipa muda wa kuichimba nia yake halisi?. Uliisoma lugha yake ya mwili hususani mkikutana uso kwa uso hata kabla hajaleta hilo pendekezo?Awapi sio kweli na Sina mazoea nae ingekuwa hvo nisingewaza mara 2 2 mtu kanikuta napika zangu kaanza jirani samahan na ombi hili na Lile hapo nmezoelekaje hovyo?
Kama umeolewa usiingie humo. Ila kama ni msela zama ndani chap, hakuna shida. Kwanini akishiba akasumbuke kuitafuta mbali?ajabu anataka nikapikie ndani kwake nisipikie nje!! hapa Kuna usalama kweli je nitaoneka vp na wapangaji wengne hata kama Nia yake sio ovuπ±
Hapo nimejilahisisha vpπ sjamuomba niwe nampkia anilipe ye ndo kaomba na Kuna watu wanaishi kuptia hzo KazPunguza tamaa na kujirahisisha.(Kama siyo β ya rangi)
Tatizo hata yeye anaweza kujikuta ameoa kimasikharaHapo nimejilahisisha vpπ sjamuomba niwe nampkia anilipe ye ndo kaomba na Kuna watu wanaishi kuptia hzo Kaz
Binti we ushakubal na hata kuliwa upo Tayari... Shida ni hao Majirani unahofia watakuonaje na sababu ni kuwa Majiran tayar walishakuona na harakat nyingine. Mwisho Fanya kitu Moyo wako una wiwa kufanya. Kama unaona kabisaa huwez mpea akiomba basi hata ndani mwake usiguse kuepusha Case ya UbakajiHapo nimejilahisisha vpπ sjamuomba niwe nampkia anilipe ye ndo kaomba na Kuna watu wanaishi kuptia hzo Kaz
Kampe weweNi swala la kuliwa mpishi na chakula chake, nenda kampikie maana ungeskia ni shoga ungemtangaza, kampe pepeteo Hilo acha woga bibieeee
Kitendo cha kukubali kumpikia tayari umemtengenezea mazingira ya kuja na ombi lingine. Ungemkatalia kupika tangu mwanzo, hayo ya kwenda kupika ndani yasingekuwepo.Hapo nimejilahisisha vpπ sjamuomba niwe nampkia anilipe ye ndo kaomba na Kuna watu wanaishi kuptia hzo Kaz
Sio lengoMpime afya kabla ya kupikiana..!!
Basi pikianeni bila kupima..!!Sio lengo
Kwahiyo unavyompikia kwa nje majirani wanageuka kuwa vipofu???Ni hivi wakuu, hapa napokaa tuko wapangaji wa 4 design kama apartment flan hv.... Sasa Kuna mpangaji wakiume alihamia muda Si mrefu aliniomba niwe namsaidia kupika chakula Cha jioni akitoka kazin awe ananilipa, kutokana na Kaz yangu saa nane tu nakuwa Niko nyumban na sna majukum meng nikamkubalia awe ananipa mahitaj napkia nje na kwake, ajabu anataka nikapikie ndani kwake nisipikie nje!! hapa Kuna usalama kweli je nitaoneka vp na wapangaji wengne hata kama Nia yake sio ovuπ±