Mpangaji mpya

Samahani lakini. Unaonekana unazoeleka hovyo. Watu wanakuona kama bibi yao!. Kama unajipenda, jifunze kuweka mipaka iliyonyooka ili kutunza heshima ya utu wako!.

Ukapikie kwake kwamba ndio chakula kitakuwa kitamu sana au?.
Kaza Mtoto wa kike. Kama amekuona ni wife material akuwowe umpikiage ndani kwake.

Nashauri uendelee kupikia nje mama!. Tena sisitiza kwamba kikiwa tayari awe anakuja kuchukulia chakula nje huko huko!

Usiseme wanaJf hatukukwambia!
 
Anataka kisusio hich 😂🙌 ,sema sio dhambi
 
Nimekumbuka wimbo wa "Jirani" wa the African Stars "Twanga Pepeta"

Kama hauna mpango naye wa kimahusiano, mweleze utakuwa unapikia ndani kwako na utampelekea chakula tu

Kumbuka, hakuna urafiki wa Chui na Kondoo 😎
 
Punguza tamaa na kujirahisisha.(Kama siyo ☕ ya rangi)
 
"Toa Vidude Hivyo Mamii,,Having'olewi...
Vitaendelea Tu Kusalia Kwa Mwili Wako Pekee,,"Milele Na Milele Amina....!!
​
 
Awapi sio kweli na Sina mazoea nae ingekuwa hvo nisingewaza mara 2 2 mtu kanikuta napika zangu kaanza jirani samahan na ombi hili na Lile hapo nmezoelekaje hovyo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…