Miss_deejjah
Senior Member
- Jul 17, 2026
- 155
- 340
Tegemea mimba nje ya ndoa siku sio nyingiNi hivi wakuu, hapa napokaa tuko wapangaji wa 4 design kama apartment flan hv.... Sasa Kuna mpangaji wakiume alihamia muda Si mrefu aliniomba niwe namsaidia kupika chakula Cha jioni akitoka kazin awe ananilipa, kutokana na Kaz yangu saa nane tu nakuwa Niko nyumban na sna majukum meng nikamkubalia awe ananipa mahitaj napkia nje na kwake, ajabu anataka nikapikie ndani kwake nisipikie nje!! hapa Kuna usalama kweli je nitaoneka vp na wapangaji wengne hata kama Nia yake sio ovu😱
Hapo kwenye kula na mpishi ndo napaogopaAnataka akishakula chakula ale na mpishi.
Usiogope wapangaji wenzio watakuona aje. Wewe kama unaona unaweza nenda
Akirud ghaflaMkubaliane, mpikie wakati hayupo.
Hahahaa, we hujamuelewa?Akirud ghafla
Basi niunganishe mimi nilikuwa natafuta sehemu ya kufanya kazi za ndani😂Hapo kwenye kula na mpishi ndo napaogopa