Mpambano: Bulembo vs Fatma Karume Kuhusu Uchaguzi Zanzibar

Mpambano: Bulembo vs Fatma Karume Kuhusu Uchaguzi Zanzibar

Kwako wewe ndiye unaiona burundi nje ya nchi kwa kuwa ndio uliko mtoa mwandani wako unafikiri hatukujui
Nimeamini ukawa ndio mnaivurga hii nchi maana mmawia ndio msemaji wa ukawa humu kama ndio unapewa nondo za namna hiyo ukawa mnayo hali mbaya
 
Kwani Karume ni mpemba? Mbona historia inaonyesha alikuwa na asili ya Nyasa? Halafu ukisema mchanganyiko wa kiarabu mbona mke wa Karume Sr (mama Karume) ambaye ndiye anaonyesha kuwa na asili ya kiarabu ni CCM kindakindaki? Tuijadili hoja tuache ubaguzi kama chaka la kuficha udhaifu.
Mkuu naona uko mbali na hii familia mzee mwenyewe hakuchanganya rangi shida ilikuwa kwa mkewe usitake niseme mengi hapa kwa kheri
 
Mkuu naona uko mbali na hii familia mzee mwenyewe hakuchanganya rangi shida ilikuwa kwa mkewe usitake niseme mengi hapa kwa kheri
Wacha kudanganya watu wewe, eti nisiseme mengi!!!! Teeeeeeeh teeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeh
 
Nimeamini ukawa ndio mnaivurga hii nchi maana mmawia ndio msemaji wa ukawa humu kama ndio unapewa nondo za namna hiyo ukawa mnayo hali mbaya
Awe msemaji wa ukawa atambe huyu dogo ni kama Gigy money wa instagram kutafuta umaarufu tu wa nguvu sema huyu anataka umaarufu kupitia siasa. Ivi mada gani au koment gani katoa ya ki GT ambayo wewe umewai isoma?
 
Kwa kifupi mambo ya Zanzibar tunamaliza kinzanzibar tuacheni wenyewe tutaelewana tu
 
Kwani Karume ni mpemba? Mbona historia inaonyesha alikuwa na asili ya Nyasa? Halafu ukisema mchanganyiko wa kiarabu mbona mke wa Karume Sr (mama Karume) ambaye ndiye anaonyesha kuwa na asili ya kiarabu ni CCM kindakindaki? Tuijadili hoja tuache ubaguzi kama chaka la kuficha udhaifu.
Mkuu nakwambia amini maneno yangu hutakaa ujadili hoja na mtu wa ccm maana yeye always anataka awe mshindi akishindwa anaporomosha matusi
 
Kwa kifupi mambo ya Zanzibar tunamaliza kinzanzibar tuacheni wenyewe tutaelewana tu
Sasa huku bara huwa mnafata nini mkishagombana?2001 mmeuana na wengine wakawa wakimbizi,si mliyamaliza sasa imekuaje?tangu siasa za vyama vingi zianze Zenj haijawah kutulia,kuanzia kwa Salmin Amour mpaka kwa Shein,kuna shida huko visiwani
 
QUOTE="haa mym, post: 15061660, member: 233965"]Sikuwemo kwenye ilo bunge[/QUOTE]
Haya yote yanaletwa na Mkoloni mweusi wa kupangwa,TANGANYIKA kujifunika BLANKETI la TANZANIA tena mchana wa jua kali haioni hata JOTO,mambo ya wazanzibar yatamalizwa na wenyewe,sisi Tanganyika tusionekane wote tunaakili za akina BULEMBO,watu wazima hovyo kabisa hawana hata MSHIPA wa aibu.
 
Bulembo is a jack of all trades; kajaribu mpira; kapa! Kajaribu biashara; hoi! Sasa anadhani kwenye siasa kafika; mpaka amekuwa kampeni meneja wa mgombea Urais! Kwa hiyo maoni yake ni ya kisiasa zaidi ili kutetea ugali, mueleweni!
 
Mkuu nakwambia amini maneno yangu hutakaa ujadili hoja na mtu wa ccm maana yeye always anataka awe mshindi akishindwa anaporomosha matusi
Ha ha ha! Ndio hapo unaponikumbusha kile kisa cha ndugu zangu WAHA, eti Muha mmoja anaweza kubishana na behewa zima la 3rd class toka Tabora mpaka Kigoma bila kuchoka. Kumbuka hapo ubishi wake hauna point mradi anabisha tuu.
 
Bulembo: Fatma Karume akae pembeni (quote)
Mwenyekiti wa jumuia ya Wazazi wa CCM Abdala Bulembo ameanzisha vita ya maneno na Mwanasheria wa Kujitegemea Fatma Karume kuhusu kauli yake kuwa maamuzi ya Jecha hayakuwa sahihi kikatiba.
Jee Bulembo aliyekuwa meneja wa kampeni wa JPM anaweza kuwa na weledi wa kisheria kudadavua mapungufu au mashiko ya mgogoro wa Zanzibar kikatiba? Au kwa vile alikuwa Meneja wa kampeni wa Rais aliye madarakani basi kwake kila kitu anakijua na kuweza kuwapa watu tafsiri yake?
Anashangaza sheria azijue wapi yee ni mshabiki tu
 
wewe bulembo usimlinganishe na mwana sheria kama fatuma karume huyo elimu yake ni darasa la saba
 
Bulembo hana elimu yoyote...

Amewahi kuwa diwani wa kata ya Nyasho Musoma mjini, baada ya kula fedha za kujenga soko la Nyasho akatoroka, sasa sijui alikimbilia Kagera au wapi? Maana haka kabinti kake naona ni Mbunge toka Kagera!

Mkewe wa kwanza alimterekeza hapa Musoma, Huyo mwanamke alijilipia mahari ili Bulembo amuoe kwasababu alikuwa broke sana.

Hapo alipofika ni kwa kutumia mbinu wanazotumia kina Makonda & co...

Ndani ya CCM ukiwa mahiri wa kuosha kinywa basi you are more likely kufika unakotaka!

Ndio maana unaona Bulembo anajibizana na Wakili Msomi Fatma karume ilhali akijua uwezo wake na wa Fatma ni sawa na mbingu na ardhi! Huenda akawa anajua/hajui kuwa kinachofanyika Zanzibar ni constitution coup ya waziwazi!

CCM siku zote inatanguliza makamanda wake wa jeshi la giza (Dark forces) na Prophets of doom kama kina Bulembo ambao ni mahiri kutengeneza hofu kwenye jamii halafu think tank ya CCM wanaiacha nyuma ndio sababu huwa wanakosea sana!
 
Kwani Karume ni mpemba? Mbona historia inaonyesha alikuwa na asili ya Nyasa? Halafu ukisema mchanganyiko wa kiarabu mbona mke wa Karume Sr (mama Karume) ambaye ndiye anaonyesha kuwa na asili ya kiarabu ni CCM kindakindaki? Tuijadili hoja tuache ubaguzi kama chaka la kuficha udhaifu.
Matatizo ya Zanzibar yana rangi za uweupe na uweusi. Uchaguzi mkuu wa mwaka 1995, mgombea fulani alijiona ana nafasi ya kushinda hiyo akapagawa na kusema 'bado siku nne tukomeshe utawala wa mtu mweusi Zanzibar'. Ndipo watu wakashtuka..! Kumbe kuna uzanzibari na uzanzibara! Bahati nzuri hakushinda, hiyo utawala wa mtu mweusi ukaendelea!
 
Bulembo is a jack of all trades; kajaribu mpira; kapa! Kajaribu biashara; hoi! Sasa anadhani kwenye siasa kafika; mpaka amekuwa kampeni meneja wa mgombea Urais! Kwa hiyo maoni yake ni ya kisiasa zaidi ili kutetea ugali, mueleweni!
Aliwahi kuwa kiongozi Wa FAT Mara enzi ya kina Rage hakuna la maana alilofanya zaidi ya migogoro
 
Ndo maana mtoto wake BULEMBO amepewa ubunge akisoma kidato bha tatu,ukisitaajabu ya musa utayaona ya BULEMBO.
 
Back
Top Bottom