Mpambano: Bulembo vs Fatma Karume Kuhusu Uchaguzi Zanzibar

Mpambano: Bulembo vs Fatma Karume Kuhusu Uchaguzi Zanzibar

Hii familia ya karume sindio uamusho na hata kukabidhi urais hawakupenda baada ya uchaguzi walikubali kwa sababu ni nitratibu
 
Bulembo hajui chochote hata katiba ya zenj haijui wazenj wanabonyeza kizenj
 
Bila kumtangaza seif sharif hamad mmekwisha
Ndio kilio chetu kama wazanzibar na akitangazwa tu mtaanza huko bara kelele mara waarabu mara mahakama ya kadhi subirini muisome namba.
 
Watu wa ovyo sana hawa wapemba
Yaani huu mchanganyiko wa kiarabu una shida huku zenji
Kwani Karume ni mpemba? Mbona historia inaonyesha alikuwa na asili ya Nyasa? Halafu ukisema mchanganyiko wa kiarabu mbona mke wa Karume Sr (mama Karume) ambaye ndiye anaonyesha kuwa na asili ya kiarabu ni CCM kindakindaki? Tuijadili hoja tuache ubaguzi kama chaka la kuficha udhaifu.
 
Ndio kilio chetu kama wazanzibar na akitangazwa tu mtaanza huko bara kelele mara waarabu mara mahakama ya kadhi subirini muisome namba.
Nambavmtaisoma nyinyi mliopoteza muda na nguvu zenu kuichagua ccm
 
Back
Top Bottom