Mpambano: Bulembo vs Fatma Karume Kuhusu Uchaguzi Zanzibar

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
40,334
72,798
Bulembo: Fatma Karume akae pembeni (quote)
Mwenyekiti wa jumuia ya Wazazi wa CCM Abdala Bulembo ameanzisha vita ya maneno na Mwanasheria wa Kujitegemea Fatma Karume kuhusu kauli yake kuwa maamuzi ya Jecha hayakuwa sahihi kikatiba.
Jee Bulembo aliyekuwa meneja wa kampeni wa JPM anaweza kuwa na weledi wa kisheria kudadavua mapungufu au mashiko ya mgogoro wa Zanzibar kikatiba? Au kwa vile alikuwa Meneja wa kampeni wa Rais aliye madarakani basi kwake kila kitu anakijua na kuweza kuwapa watu tafsiri yake?
 
Wala hasithubutu kuinanga familia ya karume ataumbuka
 
Back
Top Bottom