Zanzbar ni kapande kadogo sana ktk sehemu ya jamuhuri ya muungano ni sawa na mikoa mmoja au miwili ya tz bara ningekuwa na mamlaka hayo ningeuvunja muungano halafu tuone nani atathirika kama hamkuja kutupigia magoti wabongo nyinyi kwanza wenyewe kwa wenyewe hampatani upemba na uunguja cjui ipoje hiiKwa kifupi mambo ya Zanzibar tunamaliza kinzanzibar tuacheni wenyewe tutaelewana tu
Kati ya huyo fatma na Bulembo ni nani alimsaidie mwenzake kufikia hapo alipo?Bulembo hana elimu yoyote...
Amewahi kuwa diwani wa kata ya Nyasho Musoma mjini, baada ya kula fedha za kujenga soko la Nyasho akatoroka, sasa sijui alikimbilia Kagera au wapi? Maana haka kabinti kake naona ni Mbunge toka Kagera!
Mkewe wa kwanza alimterekeza hapa Musoma, Huyo mwanamke alijilipia mahari ili Bulembo amuoe kwasababu alikuwa broke sana.
Hapo alipofika ni kwa kutumia mbinu wanazotumia kina Makonda & co...
Ndani ya CCM ukiwa mahiri wa kuosha kinywa basi you are more likely kufika unakotaka!
Ndio maana unaona Bulembo anajibizana na Wakili Msomi Fatma karume ilhali akijua uwezo wake na wa Fatma ni sawa na mbingu na ardhi! Huenda akawa anajua/hajui kuwa kinachofanyika Zanzibar ni constitution coup ya waziwazi!
CCM siku zote inatanguliza makamanda wake wa jeshi la giza (Dark forces) na Prophets of doom kama kina Bulembo ambao ni mahiri kutengeneza hofu kwenye jamii halafu think tank ya CCM wanaiacha nyuma ndio sababu huwa wanakosea sana!
Elimu ya Bulembo ni ya KKK sasa unamlinganishaje na Hin Fatma Karume??Bulembo: Fatma Karume akae pembeni (quote)
Mwenyekiti wa jumuia ya Wazazi wa CCM Abdala Bulembo ameanzisha vita ya maneno na Mwanasheria wa Kujitegemea Fatma Karume kuhusu kauli yake kuwa maamuzi ya Jecha hayakuwa sahihi kikatiba.
Jee Bulembo aliyekuwa meneja wa kampeni wa JPM anaweza kuwa na weledi wa kisheria kudadavua mapungufu au mashiko ya mgogoro wa Zanzibar kikatiba? Au kwa vile alikuwa Meneja wa kampeni wa Rais aliye madarakani basi kwake kila kitu anakijua na kuweza kuwapa watu tafsiri yake?
Ninathibitisha kwa vielelezo!Thibitisha kwa vielelezo please
Je huko tanganyika hakuna ukaskazini? mkiishwa na hoja mnakimbilia kueneza ukabila ila kwa mwaka huu elewa tu kikinuka zanzbar na tanganyika hamtobaki salama ng'ombe alalavyo ndio achnjwavyo.Zanzbar ni kapande kadogo sana ktk sehemu ya jamuhuri ya muungano ni sawa na mikoa mmoja au miwili ya tz bara ningekuwa na mamlaka hayo ningeuvunja muungano halafu tuone nani atathirika kama hamkuja kutupigia magoti wabongo nyinyi kwanza wenyewe kwa wenyewe hampatani upemba na uunguja cjui ipoje hii
Watu wa ovyo sana hawa wapemba
Amaan Abeid Karume.Kaka yake yupi?
Hao ndio magambaKumbe Bado una ukabila/ukanda!
Sasa kati ya watanganyika na wazenj nani ataathirika zaid unafikiri nyinyi hamna msaada wwte kwetu zaid ya nyinyi kuwabeba tu kwa vyakuja tutasitisha michele nyanya na mengineyo mle mapembe yenu; na pia kati ya watanganyika na wazenj idadi ipi ya watu wapo wengi upande wa mwenzake kariakoo mmejaa nyinyi tu pale baki mikoani huko sisi waliopo huko hata sea link hawajai je nyinyi si siku 7 tunawahamisha huku na hamtoishaJe huko tanganyika hakuna ukaskazini? mkiishwa na hoja mnakimbilia kueneza ukabila ila kwa mwaka huu elewa tu kikinuka zanzbar na tanganyika hamtobaki salama ng'ombe alalavyo ndio achnjwavyo.
Ni baba yake...Fatma ni mtoto wa Amani Abeid Karumehuyu fatma pia burealiwahi kutoa ushauri huo kwa kaka yake wakati akiwa rais
Kwahiyo huyu ni mjukuu wa Marehemu Karume? sikulijuwa hili siku zote nilidhani ni dada yake Amaan.Ni baba yake...Fatma ni mtoto wa Amani Abeid Karume
Le Mutuz ana Degree tatu ukae ukijuwa, na wapo jumuiya moja na huyu kiazi.mwenye kujua elimu na taaluma ya bulembo
Kwani kuna umuhimu gani wa huo muungano si mtuachie nchi yetu jamani kwani lazima?
Yeah.....Kwahiyo huyu ni mjukuu wa Marehemu Karume? sikulijuwa hili siku zote nilidhani ni dada yake Amaan.
Matatizo ya Zanzibar yana rangi za uweupe na uweusi. Uchaguzi mkuu wa mwaka 1995, mgombea fulani alijiona ana nafasi ya kushinda hiyo akapagawa na kusema 'bado siku nne tukomeshe utawala wa mtu mweusi Zanzibar'. Ndipo watu wakashtuka..! Kumbe kuna uzanzibari na uzanzibara! Bahati nzuri hakushinda, hiyo utawala wa mtu mweusi ukaendelea!
Aliishia madrasa 3. Eti hawa ndo viongozi ambao wanaweza kutuvusha kwenye matatizo yetu ya kiuchumi!!bulembo hivi aliishia darasa la ngapi?