Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,020
- 103,411
Yule bwana pale Igunga hakujibiwa kwa kejeli,aliaambiwa kafanye kazi.
Watanzania hawashurutishwi kumkubali JPM bali wanamkubali kutokana na upigaji kazi wake.
Hao wanaotukana wanashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
Kilichosemwa wote tulikisikia, ila kwakuwa uko kwa ajili ya kutetea uovu, unataka kucheza na maneno. Huyo bwana aliyehoji alisema ana tatizo la kazi au kuna tatizo la mzunguko wa pesa? Au unadhani alichouliza yule jamaa na alichojibiwa ww tu ndio uliweza kusikia na kuelewa?