Mpaluka Mdude Nyagali abadilishiwa mashtaka ya Uhujumu uchumi, asomewa ya Kusafirisha Dawa za Kulevya

Tumuombee kwa kipi sasa, anatakiwa athibitishe mahakamani.

Kwani sisi ndio tulimtuma kumiliki heroine au kutukana viongozi.

Kwanza wewe mzushi unaandika kabambikiwa. Umejuaje? Acha mahakama iamue
Nani athibitishe??? anayetuhumu ndio mwenye dhamana ya kuthibitisha tuhuma sio mshtakiwa.

"he who alleges must prove"
 
Tumuombee kwa kipi sasa, anatakiwa athibitishe mahakamani.

Kwani sisi ndio tulimtuma kumiliki heroine au kutukana viongozi.

Kwanza wewe mzushi unaandika kabambikiwa. Umejuaje? Acha mahakama iamue
Umeona kesi ya kutukana kiongozi hapo?
 
Umesema kama wanakamatwa hovyo mbona mimi sijakamatwa, jibu langu likawa ni kutumia fake I'd kwakuwa tatizo ni ukosoaji.
Serikali haijazuia watu kukosoa. Ndio maana kuna mtu pale Igunga alimwambia JPM kwa lugha nzuri hali ni ngumu aruhusu mzunguko wa pesa. Ila ukitukana matusi hilo ni kosa.
 
Serekali haijazuia kwa kutangaza, lakini inafanya hivyo kwa matendo, na wakosoaji wanakutana na balaa zote ikiwemo kubambikiwa kesi, kuharibiwa shughuli zao nk. Haya sio mambo ya kificho bali yako wazi. Huyo unayesema alikosoa kwa lugha nzuri, alipewa majibu ya kejeli na wote tulisikia. Sasa kinachofanyika wananchi wanashurutishwa kumkubali Magufuli na ccm yake, katika mazingira ya siasa za kushurutisha, unawezaje kukosoa ukabaki salama? Hivi unadhani hatuna akili ya kujua mambo haya?
 
Yule bwana pale Igunga hakujibiwa kwa kejeli,aliaambiwa kafanye kazi.
Watanzania hawashurutishwi kumkubali JPM bali wanamkubali kutokana na upigaji kazi wake.
Hao wanaotukana wanashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
 
Back
Top Bottom