NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,271
- 14,512
Poleni sana Mashabiki wenzangu Wa Simba SC!!
Ukitoa mafanikio ya kufika nusu fainali shirikisho tena mafanikio ambayo wenzetu (Yanga SC) walishavuka,
ukitoa mafanikio ya Yanga SC kushindwa kesi huko CAS na tulipata furaha mno tena mno
na ukitoa mafanikio ya sisi wanasimba (Mashabiki) kuwacheka Yanga SC Kuwa tumewazidi kete kwenye usajili Wa Yusuph Kagoma,
Na ukitoa mafanikio yetu ya TFF , BODI YA LIGI wanavyotubeba haswa tunapokua na mechi ngumu mno kama ya Simba vs Mashujaa,
Na ukitoa mafanikio yetu ya kushangilia kwa nguvu na Kucheza mno Baada ya kumuona Feisal salumu kawaacha Yanga SC.
Mafanikio makubwa ya Kufungua What's up Channel tuliyoyapata hakika hii ni hatua kubwa mno
Hayo ndiyo mafanikio makubwa kwetu wakati wenzetu Yanga SC wameshaweka makombe mawili kibindoni.
Hakika sisi Tumefanikiwa mno Kuliko Wao (Yanga SC).
Ngao ya jamii na Muungao siyo kitu kwetu sisi ni wakimataifa.