Mpaka sasa sielewi hatma ya maisha yangu ni ipi

.......................So mkuu kipi bora,experience with STD 7 kichwani au cheti cha chuo bila kazi mtaani huku darasa la saba tena failure wakikumbiza kimaisha?

Sikatai elimu ni muhimu but how graduates wa miaka hii wengine wanafikia kujutia muda waliopoteza darasani?unadhani bado hii elimu ya kukariri inamfaa kila mtoto wa Kitanzania?na hata serikali yenyewe haina plan B kwamba hawa wahitimu wanaomaliza kila mwaka iwapeleke wapi....hii ni hatari sana kwa kizazi hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kikubwa tuwape watoto elimu huku tukiwajengea misingi ya kujitegemea mapemaaa...
 
Mkuu Hornet mimi nilishasema humu,Mungu akinijaalia umri na mafanikio ktk kazi zangu nataka hiki nachokifanya waje kukifanya wanangu,mapema kwanzia aged 11 nawachukua siku moja moja zisizokuwa za shule waone nafanyaje kupata pesa na sipo tayari kushikana mashati na mtoto kwamba lazima uwe doctor sijui mwalimu au IT.

Akijiona kichwa kinakataa kuta nne namuliza nini lengo lake ili nimuingize mtaani,2020 tu hivi tujiulize watakaofaulu 2035 huko si itakuwa balaa?

Safi sana kiongozi

Inafaa kuwaandaa kisaikolojia wasije teseka kama Sisi.
 
Sanaa ni talent na si profession mkuu, na kipaji lazima kiendelezwe tokea utotoni LA sivyo kitakufa,
Sasa huwez kuamka Leo useme uanze kazi ya sanaa ghafla hivyo hebu tuwe serious kdg
Kufanya comed waweza hata kujifunza. Wewe sasa kauze matunda yanalipa pia. Au kalime,kilimo kinalipa.
 
Hiyo mentality yakwamba ukisomea ualimi lazima uwe mwalimu itoe kwanza, fanya kazi yoyote inayokuja usoni husichague. Degree ni cheti tuu sio utaalam
 
Sina la kukushauri mkuu ila acha na Mimi niongeze yangu.
Haya mambo haya dah.... Sijui ni ulozi au ni kitu gani.
Hali unayopitia na ninayopitia nazani zinataka kufanana ila yangu ni mbaya zaidi!
Sijawahi kuajiliwa ila kiasilia Mimi ni mpambanaji sanaa. Nimefanikiwa kujenga, nimefanikiwa pia kununua shamba hapa hapa dar kwa Sasa sio shamba tena kwani limekuwa eneo la makazi na ninakiwanja kingine hapa hapa town. Na Nina kibiashara Cha tigo pesa+ ges na vitu vidogo vidogo.
Shida inaanzia hapaa...
Tangu miaka mitatu iliyopita maisha yangu yamekuwa hayaeleweki kabisa. Kila nnalofanya haliendi, pesa kwangu haiingii wala haikai.

Mbaya zaidi sasaivi hata uwezo wakutoka kwenda kupiga mishe Sina. Nimekuwa mtu wa home tu yaan sijui nielezeje nieleweke.
Nina hofu isiyomfano na sijui sababu. Najitahidi kukaza lkn daah.. sielewi kabisa.
Kiduka kimefilisika kwa kasi ya ajabu ila bado kipo kiaina kinachechemea, na nibaada yakumuachia dogo wa mshahara.
Kuna kipindi nahisi heri nife manake Sina amani wala furaha. Hakuna nnalofanya nikalikamilisha. Nimekuwa mtu wakuishia katikati.
Haya maisha haya... Ni full mahangaiko na vituko.
 
Ni jambo la kawaida sana, na changamoto kwa mwanadamu ni kawaida. Ila nilihitaji nikushauri. Kwanza usijaribu kuweka mtaji wako kwenye maswala yanayohitaji muda ili kupanuka mfano maswala ya mitandao, yaani tigo pesa mpesa n.k pia usijaribu kufungua duka lolote kiufupi usifanye biashara ambayo inahitaji muda zaidi ya miezi mitatu au sita huku ukiwa unasubir ichanganye. Sasa utafanya nini. Tenga kiasi kidogo kama laki nne. Tafuta mabanda ya kukodi mfano ukienda maeneo ya Kibamba kuna mabanda yanakodishwa kila msimu wa ufugaji unamlipa elfu hamsini tu. Au Bunju maeneo ya Mabwe kuna mabanda mengi sana, weka mabroila ya laki kama tatu utatumia kama laki mbili tu mpaka yanakomaa ukibahatika kupata soko utapanua mtaji na utapata pa kuanzia. Ukiitaji ushauri zaidi nifate dm nitakusaidia mhanga mwenzangu
"Akibahatika kupata soko!" Bado hiyo biashara risk ya kupoteza ni kubwa na pia hujamwambia vifaranga wangapi wanaweza kufa . Soko likiwa gumu ataendelea kuwalisha na hata akiuza badae atauza kwa hasara.

Mi ningemshauri afanye kazi inayoingiza kwa siku japo pia risk ipo ila ndogo. Tafuta eneo lililo changamka kama karibu na chuo au kituo cha daladala. Tengeneza chips na mishkaki hakika haitaisha siku hujaingiza ata Mia. Zingatia usafi tu
 
Mkuu cha msingi ni kutake action wisely au kuendelea kusubiri ni hatari zaidi.

Alafu kuna watu walikuwa wanammock yule dada mwenye bajaj kwamba anatumia elimu vibaya.

Maisha sio simple kihivyo.
 
Sina la kukushauri mkuu ila acha na Mimi niongeze yangu.
Haya mambo haya dah.... Sijui ni ulozi au ni kitu gani.
Hali unayopitia na ninayopitia nazani zinataka kufanana ila yangu ni mbaya zaidi!
Sijawahi kuajiliwa ila kiasilia Mimi ni mpambanaji sanaa. Nimefanikiwa kujenga, nimefanikiwa pia kununua shamba hapa hapa dar kwa Sasa sio shamba tena kwani limekuwa eneo la makazi na ninakiwanja kingine hapa hapa town. Na Nina kibiashara Cha tigo pesa+ ges na vitu vidogo vidogo.
Shida inaanzia hapaa...
Tangu miaka mitatu iliyopita maisha yangu yamekuwa hayaeleweki kabisa. Kila nnalofanya haliendi, pesa kwangu haiingii wala haikai.

Mbaya zaidi sasaivi hata uwezo wakutoka kwenda kupiga mishe Sina. Nimekuwa mtu wa home tu yaan sijui nielezeje nieleweke.
Nina hofu isiyomfano na sijui sababu. Najitahidi kukaza lkn daah.. sielewi kabisa.
Kiduka kimefilisika kwa kasi ya ajabu ila bado kipo kiaina kinachechemea, na nibaada yakumuachia dogo wa mshahara.
Kuna kipindi nahisi heri nife manake Sina amani wala furaha. Hakuna nnalofanya nikalikamilisha. Nimekuwa mtu wakuishia katikati.
Haya maisha haya... Ni full mahangaiko na vituko.
Pole sana. Omba Mungu akusaidie mkuu utoke hapo ulipokwama kifikra. Kwa nini usiuze hicho kiwanja kingine ukaongezea mtaji kwenye ofisi yako? Utakuja kununua wakati mwingine ukikaa vizuri.
 
................Nimefarijika sana kwa post hizi,vijana tusaidiane uwezo ukiwepo huwa naumia sana napoona post za graduates wakilia kufeli maisha.

Pole sana mkuu shikamana na hawa jamaa japo kwa ushauri wa kimawazo tu unaweza kusogea ila kumbuka wema unaotendewa humu na wewe uulipe kwa wengine kama ikiwa ndani ya uwezo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaumiza sana. Mifumo ya malezi ma elimu iliyopo inachangia sana kuzalisha jamii yenye fikra ya kuajiriwa pekee. Nyakati zimebadilika, Sera na mifumo haina budi kubadilika pia. Jamaa anahitaji total paradigm shift kifikra.
 
Analysis Paralysis,PM or Call 0710323060 to be assisted
 
Kikubwa tuwape watoto elimu huku tukiwajengea misingi ya kujitegemea mapemaaa...
Kabisaaa.

Mdogo wangu wa kiume alizingua shule akiwa form two, akakaa home two years. 2017 nikamchukua akarudi shule akili ikiwa imekaa sawa. Moja kati ya mambo ambayo nilikuwa naongea nae kila siku ni asome kupata uelewa ila asitegemee mambo ya kuja kuajiriwa. Alianza kufanya biashara ndogo ndogo akiwa shule. Alipomaliza form four, 2019 akaenda driving school apate cheti maana nilimfundisha kuendesha mwenyewe mpaka akawa competent kabisa, kuna gari ya ofisi nilikuwa na access nayo.

2020 akawa ananisaidia kufanya shughuli zangu, march ikatokea mahali kazi nikamshauri akafanye japo mshahara. Lengo langu ilikuwa ni kumfanya ajuane na watu hasa wafanyabiashara, ile kazi ilihusisha kukutana na watu wengi sana town. Miezi tisa baadae dogo kaacha kazi, ana skill inayomuingizia fedha, amepanga, anajitgemea na kajilipia ada ya chuo ngazi ya cheti. Kusoma kwake ni ziada, kumpa exposure. Anafanya maisha and I am proud of him..
 
Sina la kukushauri mkuu ila acha na Mimi niongeze yangu.
Haya mambo haya dah.... Sijui ni ulozi au ni kitu gani.
Hali unayopitia na ninayopitia nazani zinataka kufanana ila yangu ni mbaya zaidi!
Sijawahi kuajiliwa ila kiasilia Mimi ni mpambanaji sanaa. Nimefanikiwa kujenga, nimefanikiwa pia kununua shamba hapa hapa dar kwa Sasa sio shamba tena kwani limekuwa eneo la makazi na ninakiwanja kingine hapa hapa town. Na Nina kibiashara Cha tigo pesa+ ges na vitu vidogo vidogo.
Shida inaanzia hapaa...
Tangu miaka mitatu iliyopita maisha yangu yamekuwa hayaeleweki kabisa. Kila nnalofanya haliendi, pesa kwangu haiingii wala haikai.

Mbaya zaidi sasaivi hata uwezo wakutoka kwenda kupiga mishe Sina. Nimekuwa mtu wa home tu yaan sijui nielezeje nieleweke.
Nina hofu isiyomfano na sijui sababu. Najitahidi kukaza lkn daah.. sielewi kabisa.
Kiduka kimefilisika kwa kasi ya ajabu ila bado kipo kiaina kinachechemea, na nibaada yakumuachia dogo wa mshahara.
Kuna kipindi nahisi heri nife manake Sina amani wala furaha. Hakuna nnalofanya nikalikamilisha. Nimekuwa mtu wakuishia katikati.
Haya maisha haya... Ni full mahangaiko na vituko.
Onana na wataalam haraka.
 
Pole sana mkuu, usikate tamaa maisha saa nyingine yanatuchapa sana lakin heri hata wewe kuna kitu unaweza jivunia unakimiliki kwa jasho lako. Mim nna jamaa yangu kamaliza chuo 2012 kila mishe anayofanya inagoma na hadi sa iv hana anachomiliki zaid sana anajikatia tamaa leo lakin kesho anajikaza tena maana hana namna. Life can be tough😭😭😭
 
Labda anunue used ya 1.5 milioni maana hawezi kuwa na 2m kwa sababu lazima ale na mahitaji mengine muhimu humo humo.

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile aa

Mimi nimehitimu mwaka 2016 na mpaka leo niko mtaani. Yaani nimehitimu nikiwa na 26 years mpaka sasa ninakaribia 31. Na kuna wahitimu wa nyuma yangu wengi tu bado wapo mtaani.

Sasa wewe umetoka chuo juzi tu hapo unajilizaliza kama demu.

Man up nigga.
Ahsante kwa ushauri
 
Kuna Jamaa hapo juu amekushauri kuhusu broiler,ufate ushauri wake.

Am doing that bussines too.
 
Back
Top Bottom