Mpaka sasa sielewi hatma ya maisha yangu ni ipi

It is now or never. Kwanza accept hiyo situation na usijute kwa nini alikwenda Chuo. It is never too late. Muda pekee ambao inakuwa late ni pale moyo umesimama (kifo)Maisha ni safari. Huna kipaji cha kufanya comed ?Maana umesoma sanaa wewe. Anza kujirecord fanya vichekesho kina Assas watakuona na utatangaza maziwa yao. Mdogo mdogo.
 
Mkuu kwanza badala ya kulaumu, anza kushukru Mungu kwamba Una hiyo 2M, mimi nimehitimu 2018 kama wewe na sijabahatika hata kupata kazi ya kuajiriwa

Huku mtaani kiukweli mambo sio rahisi kiasi hicho, 2M kwangu mimi ni pesa kubwa sanaaaa mimi nauza samaki na dagaa kutoka Mwanza nikipata hiyo 2M napanuka pakubwa mno.

Zingatia ushauri wa wanaJF kama walivyokushauri hapo juu, kama ni kununua bodaboda basi nunua ila shukru Mungu unakianzio
 
Naandika kitu nafuta naandika kitu nafutaa

Gosh!

Mwakani muda Kama huu ntaandika motivational speech KWA VIJANA.....

Na mengi Sana ya kuwa ambia vijana.....

Nikipata chance yoyote soon ntaku consider.......
 
It is now or never. Kwanza accept hiyo situation na usijute kwa nini alikwenda Chuo. It is never too late. Muda pekee ambao inakuwa late ni pale moyo umesimama (kifo)Maisha ni safari. Huna kipaji cha kufanya comed ?Maana umesoma sanaa wewe. Anza kujirecord fanya vichekesho kina Assas watakuona na utatangaza maziwa yao. Mdogo mdogo.
Dada King Kong III anakutafuta
 
Siamini macho yangu kama inafika kipindi mtu unafilisika mpaka mawazo ,yaani hujui nini cha kufanya ili maisha yasonge mbele lkn ukweli mtupu haya ndo ninayopitia mtanzania mwezenu.

Historia yangu kiufupi ni hivi, Mimi ni muhitimu chuo kikuu ( UDSM) kada ya ualimu wa sanaa(art), na kama mjuavyo hii fani ina changamoto ktk ajira.

Nilihitimu mwaka 2018 na baada ya nilijaribu kutuma maombi shule mbalimbali bila mafanikio, lkn mola hamtupi mja wake nilipata kibarua kimoja hivi ambacho nashukuru Mungu kilifanikisha kunivusha sehem A kwenda B japo nilifanya kwa muda wa miaka 2.

Niliweza kusave kiasi cha sh mil 2 hivi ndani ya huo muda na kibarua kilikoma mwezi wa kumi mwaka huu (2020).

Mpaka sasa nna mwezi wa tatu huu niko tu ndani kiufupi nimenasa ktk jela ya mawazo yani kila biashara ninayoifikiria nahisi haiwezekani mpaka imepelekea naugua ulcers kwa mawazo nilonayo.

Jamani jela ya kifikra ni mbaya mno, maana nafikiria hiki kitu nilichokitafuta kwa miaka 2 kikipotea itakuaje!

Bahati mbaya sina hata wazazi wa kunipa motisha kwamba wapo nyuma yangu kwani walifariki nikiwa mdogo.

Mpaka najuta kabisa kwanini nilitumia muda mwingi kwenye kusoma halafu nakuja kufanya kazi ambazo ni out of field.

Sasa basi naombeni ushauri wenu jamani nifanye nini mana dahhh hela nilonayo ndiyo inazidi kupukuchuka, maisha ya Dar kila siku ni hela yani nahisi kukata tamaa.
nimecheka kama mazuri
 
Jikaze kiume maisha ni magumu ktk hali ya kawaida tu..ukifikiri sana yaliyopita utajitafutia maradhi ya akili bure ndugu,angalia ya mbele tu ndo yatakayo kuvusha....wakati mwingine binadamu tunafeli coz tunawaza kupita kiasi maisha na hali zetu za miaka nyuma,focus forward aisee..jipe moyo Leo utaona siku ngumu ,kesho nayo utaona ndo ngumu zaidi ila ukiendelea kupambana keshokutwa itakuwa rahisi tu panapo majaliwa
 
Ni jambo la kawaida sana, na changamoto kwa mwanadam ni kawaida. Ila niliitaji nikishauri. Kwanza usijaribu kuweka mtaji wako kwenye maswala yanayoitaji mda ili kupanuka mfano maswala ya mitandao, yaan tigo pesa mpesa n.k pia usijaribu kufungua duka lolote kiufupi usifanye biashara ambayo inaitaji mda zaid ya miez mitatu au sita huku ukiwa unasubir ichanganye. Sasa utafanya nn. Tenga kias kidogo kama laki nne. Tafuta mabada ya kukodi mfano ukienda maeneo ya kibamba kuna mabanda yanakodishwa kila msimu wa ufugaji unamlipa elfu hamsini tu. Au bunju maeneo ya mabwe kuna mabanda mengi sana,weka mabroila ya laki kama tatu utatumia kama laki mbili tu mpaka yanakomaa ukibahatika kupata soko utapanua mtaji na utapata pa kuanzia. Ukiitaji ushaur zaid nifate dm nitakusaidia mhanga mwenzangu
Ubaya mnaaminishwa kuwa shule ndo Kila kitu
 
Siamini macho yangu kama inafika kipindi mtu unafilisika mpaka mawazo ,yaani hujui nini cha kufanya ili maisha yasonge mbele lkn ukweli mtupu haya ndo ninayopitia mtanzania mwezenu.

Historia yangu kiufupi ni hivi, Mimi ni muhitimu chuo kikuu ( UDSM) kada ya ualimu wa sanaa(art), na kama mjuavyo hii fani ina changamoto ktk ajira.

Nilihitimu mwaka 2018 na baada ya nilijaribu kutuma maombi shule mbalimbali bila mafanikio, lkn mola hamtupi mja wake nilipata kibarua kimoja hivi ambacho nashukuru Mungu kilifanikisha kunivusha sehem A kwenda B japo nilifanya kwa muda wa miaka 2.

Niliweza kusave kiasi cha sh mil 2 hivi ndani ya huo muda na kibarua kilikoma mwezi wa kumi mwaka huu (2020).

Mpaka sasa nna mwezi wa tatu huu niko tu ndani kiufupi nimenasa ktk jela ya mawazo yani kila biashara ninayoifikiria nahisi haiwezekani mpaka imepelekea naugua ulcers kwa mawazo nilonayo.

Jamani jela ya kifikra ni mbaya mno, maana nafikiria hiki kitu nilichokitafuta kwa miaka 2 kikipotea itakuaje!

Bahati mbaya sina hata wazazi wa kunipa motisha kwamba wapo nyuma yangu kwani walifariki nikiwa mdogo.

Mpaka najuta kabisa kwanini nilitumia muda mwingi kwenye kusoma halafu nakuja kufanya kazi ambazo ni out of field.

Sasa basi naombeni ushauri wenu jamani nifanye nini mana dahhh hela nilonayo ndiyo inazidi kupukuchuka, maisha ya Dar kila siku ni hela yani nahisi kukata tamaa.
Ubaya mnaaminishwa kuwa shule ndo Kila kitu
 
Nilidhani umemaliza 2013 kumbe 2018 Jana tu,tafuta sehemu ya uswahilini tafuta na banda nunua mkaa Junia kwa being ya Jumla kisha uwe unapanga kwenye madebe na kwenye mifuko na majunia mengine unauza kwa jumla.biashara hiyo haina risk kubwa na mauzo in karibu kila siku.
 
Ni wazo zuri lkn hii biashara inachangamoto ya maliasili yani bila ina mrorongo mrefu bila kibali utaishiwa kufilisiwa tuu
 
Nilidhani umemaliza 2013 kumbe 2018 Jana tu,tafuta sehemu ya uswahilini tafuta na banda nunua mkaa Junia kwa being ya Jumla kisha uwe unapanga kwenye madebe na kwenye mifuko na majunia mengine unauza kwa jumla.biashara hiyo haina risk kubwa na mauzo in karibu kila siku.
Ni wazo zuri lkn hii biashara inachangamoto ya maliasili yani bila ina mrorongo mrefu bila kibali utaishiwa kufilisiwa
 
Back
Top Bottom