Mpaka sasa sielewi hatma ya maisha yangu ni ipi

Mpaka sasa sielewi hatma ya maisha yangu ni ipi

It is now or never. Kwanza accept hiyo situation na usijute kwa nini alikwenda Chuo. It is never too late. Muda pekee ambao inakuwa late ni pale moyo umesimama (kifo)Maisha ni safari. Huna kipaji cha kufanya comed ?Maana umesoma sanaa wewe. Anza kujirecord fanya vichekesho kina Assas watakuona na utatangaza maziwa yao. Mdogo mdogo.
Sina kipaji chochote cha sanaa, sjui kuimba, sjui kuchekesha wala mpira,,
Nilijukuta tuu Niko bize na kusoma
 
WORLD IS NOT FAIR., mimi niko najipanga kuandaa uzi wa shukrani nimefikisha mtaji wangu laki tano afu kuna mtu ana lalamika ana 2 million?
 
Sina kipaji chochote cha sanaa, sjui kuimba, sjui kuchekesha wala mpira,,
Nilijukuta tuu Niko bize na kusoma
Kila mtu anajua kuimba,kuchekesha. Sasa umesoma sanaa halafu hauwezi kuact ?????Wewe unapenda nini?
 
Hao samak unawauza ukiwa mkoa gani
Mkuu kwanza badala ya kulaumu, anza kushukru Mungu kwamba Una hiyo 2M, mimi nimehitimu 2018 kama wewe na sijabahatika hata kupata kazi ya kuajiriwa

Huku mtaani kiukweli mambo sio rahisi kiasi hicho, 2M kwangu mimi ni pesa kubwa sanaaaa mimi nauza samaki na dagaa kutoka Mwanza nikipata hiyo 2M napanuka pakubwa mno.

Zingatia ushauri wa wanaJF kama walivyokushauri hapo juu, kama ni kununua bodaboda basi nunua ila shukru Mungu unakianzio
 
Kila mtu anajua kuimba,kuchekesha. Sasa umesoma sanaa halafu hauwezi kuact ?????Wewe unapenda nini?

Kila mtu anajua kuimba,kuchekesha. Sasa umesoma sanaa halafu hauwezi kuact ?????Wewe unapenda nini?
Sanaa ni talent na si profession mkuu, na kipaji lazima kiendelezwe tokea utotoni LA sivyo kitakufa,
Sasa huwez kuamka Leo useme uanze kazi ya sanaa ghafla hivyo hebu tuwe serious kdg
 
mm ni fundi cm ...elim yangu ya wastan but cjutii kazi yangu shida niko mwanza ungekuja nikufue kidogo kwa miez michache uenjoy maisha kwa kias kidg cha ada...ila uckate tamaa pga kaz yoyote mungu yu pamoja nas
 
Hivi mbwa kama wewe huko vyuoni mnafundishwa nini, yani huwezi hata kufungua kakibanda ka chips akawaweka madogo

Au basi hata kam-pesa ka kishikaji nako hutaki kukafikilia.Kiufupi mkubwa unatia aibu
Mkuu shukuru Mungu kukupa hicho ulicho nacho sasa kamwe ustukane wengine Mlungu chibidu ...
 
Mkuu wa kuanzia ili asiwe na stress Bora aanzie huko wakat anatafuta ajira nyingine maana akikaa na hyo ml 2 muda mfup Sana itakata na biashara za uchuuz wa vtu itapotea yote Bora anunue pkpk mtaji uwe mafuta tu, atakuwa hakosi angalau 15
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hata graduates usiwaone ni wazembe, experience inawabeba hao lasaba B
.......................So mkuu kipi bora,experience with STD 7 kichwani au cheti cha chuo bila kazi mtaani huku darasa la saba tena failure wakikumbiza kimaisha?

Sikatai elimu ni muhimu but how graduates wa miaka hii wengine wanafikia kujutia muda waliopoteza darasani?unadhani bado hii elimu ya kukariri inamfaa kila mtoto wa Kitanzania?na hata serikali yenyewe haina plan B kwamba hawa wahitimu wanaomaliza kila mwaka iwapeleke wapi....hii ni hatari sana kwa kizazi hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom