Mpaka sasa najiuliza why she doesn’t care

Baada ya muda kabadilika na mda amebadilika baada ya mm kuwa bize na masomo
Wanawake wanapenda mtu ambaye yupo active hata kama upo busy kiasi gani kwasababu wakati wewe upo busy kuna mwamba anafosi bibie aingie kingi. Kwa upande wangu hata niwe busy kiasi gani manzi wangu lazima niwe namjulia hali, message namtumia na wakati mwingine nampa taarifa kabisa kabla kama nikiingia kwenye ubusy mfano mzuri kuna wakati nilimwambia Mwezi fulani nitakuwa busy mno so naomba ukiona nimechelewa kukujibu message au sijakutafuta kipindi hicho chote please usiumie nitakuwa kwenye harakati zangu na always wewe utabaki kuwa kwenye akili na kwenye moyo wangu hauwezi ukafutika. Pamoja na busy nilikuwa napitia demu alinielewa na mambo yalivyokaa sawa bado akawa loyal kwangu. Mwanamke unatakiwa uishi nae kwa akili mjue mtu wako vizuri ili ujue unaishi nae vipi
 
Daaah mkuu umeongea kitu sahihi sana..
Kuna watu walisema na mimi nijifanye kuwa busy aaaaah nikawa najichoma bana..

Its oky sasa najaribu kumuweka busy lakini kinachotokea ni kuwa usipo mcheki ndo basi imeisha hiyo.
 
Inaonekana uko kwenye uhusiano wenye changamoto, hasa kutokana na hisia zako za kutothaminiwa au kupewa muda na mwenzako.

Hii hali inaweza kusababisha kutoelewana na kukufanya ujihisi kama wewe ndiye unayejitoa zaidi.

Kupata ufumbuzi wa kadhia hiyo, unapaswa kuzingatia mambo kadhaa yafuatayo:-

Weka wazi hisia zako
Weka wazi hisia zako kwake, lakini kwa namna ya utulivu na yenye lengo la kuelewa na kutatua changamoto zenu.

Pima Matarajio Yenu
Pengine wewe na mwenzako mko na matarajio tofauti kwenye mahusiano yenu.

Hivyo, zungumzeni kuhusu malengo na matarajio yenu ili kuona kama mpo kwenye ukurasa mmoja.

Je, ana Dalili za Kukupenda?
Kama tabia yake inaonesha ukosefu wa kujali kwa muda mrefu, inaweza kuwa ishara ya kutokuwepo uwekezaji wa kihisia kwake.

Jaribu kuangalia kama kuna ishara nyingine zinazoonyesha kutopendezwa kwake na uhusiano wenu.

Thamini Nafasi Yako
Kama unajihisi kutopewa thamani unayostahili, pengine ni wakati wa kutathmini kama uhusiano huo unakidhi haja zako au yanaongeza thamani kwako.

Ova
 
Sa si anakusaidia masuala ya Kila mara uko wapi we huoni kero anyway nitakupa mbinu ya kawaida kabisa
"Siku akija piga mashine hadi godoro iloe jasho" uone kama huta control hayo mahusiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…