Mpaka sasa Najiona Nishakata tamaa kabisa ya kuo

Mpaka sasa Najiona Nishakata tamaa kabisa ya kuo

Davives

Member
Joined
Feb 2, 2024
Posts
86
Reaction score
106
Wakuu mpaka sasa Najiona Nishakata TAMAA kabisa ya kuoa.kwa ninayoona kakazangu watatu walionitangulia wanavyofanyiwa ndani ya ndoa inanitia hasira Zaidi nikisikia neno ndoa.

Kiufupi ndugu zangu wanazipambania Sana familia zao lakini awo shemeji mambo yao ni hovyo tena Kila mtu anachangamoto zake.

Hivi kweli wanawake wana akili timamu muda wote?, Ivi unaanzaje kumdharau mtu uliyeanza kumpenda anayekulisha na kukuvisha na kukupa Kila kitu kisa mtu anayekupa buku ya vocha?

Yaani hapa Kuna namna nahisi huwa inakuwa akili tofauti na ya binadamu WA kawaida .

Sijui wakuu mlio ndani ya ndoa mnawezaje kupangua hizi ngumi za moto hivi maana kwangu Mimi Najiona kabisa nitashindwa na siku nitaua mtoto WA mtu bure kwaio Bora nisioe tu wanawake ni changamoto kubwa Sana. yaani vinavotokea kwenye ndoa za ndugu zangu vinaniuma utafikiri ni zangu je ndio mojawapo iwe yangu kweli naweza ozea jera wakuu!
 
Hao Kaka zako mashine wanapiga ipasavyo?!
Kwamba ukipiga mashine sana ndio wanaacha kuchepuka au ndo kinga ya mwanaume kuachwa kicheatiwa..?! Ingekua hivyo sidhani kama hizi kesi zingekua zinaibuka kila siku..

Mwanamke anaweza cheat kwa kitu kidogo sana ambacho ukikaa ukatafakari unashindwa kuelewa kabisa kwanini kafanya hivyo licha ya kua unaweza kua una mtimizia kila kitu na show unapiga mpaka nunu yake inavimba..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom