Ishi na mwanamke,zaa watoto,Jenga makazi!wape mahitaji ya msingi huku ukiwapa room ya ku fight ndoto zao!
Akikuzingua anzisha tabia mpya,ukimya sio makelele tafuta mpenzi TU was nje na yeye aendelee na Alie nae!maisha yasonge,Kila mmoja abebe hatma yake!!
Ukijifanya yesu au mtume kwenye mahusiano watakuchezea hai viumbe hadi utakufa Kwa msongo!!
Using'ang'anie mahusiano mambo yanapoharibika mkuu!utajuta sana Tena sana!!ishi mwenyewe empty your mind usinwazie mtu uliekutana name ukubwani kana kwamba bila yeye maisha yako yatasimama!!
Mara nyingi Huwa najivunia kuona watoto Wana kwao hasta kama haparidhishi ndio kwao,mengine watatafuta vya kwao!!
Usi complicate life!ACHA kabisa!!