Kaka ata kama ndio wote wawe na hayo tatizo moja cwez kuamini hiyo sababu kwa asilimia kubwaHao Kaka zako mashine wanapiga ipasavyo?!
Kwamba atashindwa kuandika talaka kama kaka zake sio, inawezekana kuandika ni tatizo la ukoo.Bora uachane nayo,kuandika yenyewe haujui,ni bora uachene na habari za ndoa utakufa.
Hii imenikaa mkuu 🙏 🙏Principle ya ndo kwa mwanaume ni nyepesi, hakikisha unaoendwa na upo tayari kumpoteza, Yani akizingua potea bila kufikiri mara 2, utawapoteza au Kaka zako kwa ujinga wao!
Talaka wapi ndoa za kanisaniKwamba atashindwa kuandika talaka kama kaka zake sio, inawezekana kuandika ni tatizo la ukoo.
Eti mpaka nunu ivimbe. Mkuu huwa unahakikisha zimevimba ndio unashuka?Kwamba ukipiga mashine sana ndio wanaacha kuchepuka au ndo kinga ya mwanaume kuachwa kicheatiwa..?! Ingekua hivyo sidhani kama hizi kesi zingekua zinaibuka kila siku..
Mwanamke anaweza cheat kwa kitu kidogo sana ambacho ukikaa ukatafakari unashindwa kuelewa kabisa kwanini kafanya hivyo licha ya kua unaweza kua una mtimizia kila kitu na show unapiga mpaka nunu yake inavimba..
Mm sijaoa lakini changamoto za ndugu zangu zinatuathiri mpaka sisi wengineAchana na mambo ya ndoa kijana, kwani faida ya ndoa ni nini hasa....🤣
Halafu kaka yako alivyo mjinga na Fala,anajua kabisa shemeji yako alienda gest house na bado anaendelea kuishi naye.Sasa kwa namna hiyo kwa nini huyo mwanamke asizidi kumdharau.Kiufupi wote ni malaya balaa
yaani Juzi mmoja kaaga anaenda kwa mama ake kumbe kachukua chumba gest na kiben10 Cha siku tatu alafu pesa kaiba za mumewe...
Yaani ni jau balaa
Hakuna ndoa zisizo na talaka johTalaka wapi ndoa za kanisani
Kwani nani kakuambia ndoa za kanisani hazina talaka.Talaka wapi ndoa za kanisani
Kwa kwelindoa sio lele mama
Basi nduguzako watakua wamerogwa...😜Mm sijaoa lakini changamoto za ndugu zangu zinatuathiri mpaka sisi wengine
Inawezekan aseeBasi nduguzako watakua wamerogwa...😜