Mpaka sasa Najiona Nishakata tamaa kabisa ya kuo

Mpaka sasa Najiona Nishakata tamaa kabisa ya kuo

Kiufupi wote ni malaya balaa
yaani Juzi mmoja kaaga anaenda kwa mama ake kumbe kachukua chumba gest na kiben10 Cha siku tatu alafu pesa kaiba za mumewe...
Yaani ni jau balaa
Pole. Hata wanaume na nyie mna changamoto zenu lukuki, ni kuvumiliana ikishindikana kila mtu apite hivi.
 
Wakuu mpaka sasa Najiona Nishakata TAMAA kabisa ya kuoa.kwa ninayoona kakazangu watatu walionitangulia wanavyofanyiwa ndani ya ndoa inanitia hasira Zaidi nikisikia neno ndoa.

Kiufupi ndugu zangu wanazipambania Sana familia zao lakini awo shemeji mambo yao ni hovyo tena Kila mtu anachangamoto zake.

Hivi kweli wanawake wana akili timamu muda wote?, Ivi unaanzaje kumdharau mtu uliyeanza kumpenda anayekulisha na kukuvisha na kukupa Kila kitu kisa mtu anayekupa buku ya vocha?

Yaani hapa Kuna namna nahisi huwa inakuwa akili tofauti na ya binadamu WA kawaida .

Sijui wakuu mlio ndani ya ndoa mnawezaje kupangua hizi ngumi za moto hivi maana kwangu Mimi Najiona kabisa nitashindwa na siku nitaua mtoto WA mtu bure kwaio Bora nisioe tu wanawake ni changamoto kubwa Sana. yaani vinavotokea kwenye ndoa za ndugu zangu vinaniuma utafikiri ni zangu je ndio mojawapo iwe yangu kweli naweza ozea jera wakuu!
KUOA NI KWA LOW MINDED TU...
 
Nikutie moyo tu
Kwanza Acha uoga, Maisha yako sio maisha yao
Kumbuka Dunia hii ni ya changamoto kila nyanja
Hebu fikiria hili utaacha kutafuta pesa kwa kuwa uchumi ni mgumu au biashara haziendi?
Bila shaka utapambana ukijua ya kwamba asiyefanya kazi na asile
Sasa vijana wengi wanavizingizio vya kukwepa ndoa kwa kuwa uhakika wa kula upo(Chovya chovya kila sehemu) na hili limekuwa janga na ni mtego mkubwa wa hatari.
Kaa chini MUOMBE MUNGU akusaidie ,Wengi wameoa kwa tamaa ya macho yao
Wengine wameoa ili wasifiwe na marafiki zao kuwa ooh ana trakoo sijui mzurii epuka sifa hizo huo ni upagani, hata hivyo hatuoi matako ya wanawake tunaoa akili zao(tumia akili nyingi kuelewa hili)
La mwisho, Masiha ya wengine usiyape nafasi yaamue Mipango yako na matarajio yako.
Asante nawasilisha
 
Timu kataa ndoa huwa hawachezi mbali na mada za namna hii. Huku wakicheeka na kugongesha bilauri za mvinyo.
 
Wakuu mpaka sasa Najiona Nishakata TAMAA kabisa ya kuoa.kwa ninayoona kakazangu watatu walionitangulia wanavyofanyiwa ndani ya ndoa inanitia hasira Zaidi nikisikia neno ndoa.

Kiufupi ndugu zangu wanazipambania Sana familia zao lakini awo shemeji mambo yao ni hovyo tena Kila mtu anachangamoto zake.

Hivi kweli wanawake wana akili timamu muda wote?, Ivi unaanzaje kumdharau mtu uliyeanza kumpenda anayekulisha na kukuvisha na kukupa Kila kitu kisa mtu anayekupa buku ya vocha?

Yaani hapa Kuna namna nahisi huwa inakuwa akili tofauti na ya binadamu WA kawaida .

Sijui wakuu mlio ndani ya ndoa mnawezaje kupangua hizi ngumi za moto hivi maana kwangu Mimi Najiona kabisa nitashindwa na siku nitaua mtoto WA mtu bure kwaio Bora nisioe tu wanawake ni changamoto kubwa Sana. yaani vinavotokea kwenye ndoa za ndugu zangu vinaniuma utafikiri ni zangu je ndio mojawapo iwe yangu kweli naweza ozea jera wakuu!
No reform no election ⚒️ 💯
 
Bora nimekuona tajiri, huu mguu ulikuwa unakuja kwako... kuna ahadi hujaitekeleza mkuu, au unataka uanze kuwa na baya? Stori ya jishangazi tunaisubiri tajiri
🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu naileta karibuni tu, kuna vitu vinanitia uvivu kuandika nitavisema humo humo kwenye simulizi.
Pia hii nikianza kuileta moja tu nauwa haitachelewa maana ni sehemu mbili au tatu tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom