Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Machawa hawajui, Kila chawa amejaliwa kuto jua, (data off)Tuwe Wakweli kabisa na tumuogope Mungu, Hivi kweli yupo Mtanzania leo hii kwa haya yanayoendelea atasema hajui ni nani anayeteka, kuumiza, kubaka na kuuwa watu?
Ama kwa Hakika kile kilichoitwa kisiwa cha amani kishapotea kabisa kwa sababu ya Wanaoitwa Wapambe na Chawa.
Nakulilia Tanzania, Maana ulijengwa kwa Taabu sana lakini unabomolewa kirahisi mno!
