😆😆😆😆
FaizaFox na huyo Tlaatlaah, sina shaka nao kuwa watu wa karibu sana katika huu utekajiWako wengi sana hawawajui watekaji na wauaji. Ebu anza na hawa uone kama wanamjua au kuhisi kuna mtekaji na muuaji wa Mdude, Kibao, Saanane, Mawazo, nk
Tlaatlaah
Lucas Mwashambwa
FaizaFoxy
Nk
FaizaFox yeye siku hizi ni mshauri wa karibu sana wa Samia; kwa hiyo hakosi kujuwa yote yanayoendelea katika uovu huo.
Kuna wengine, baadhi yao wamo humu humu JF kiaina, kufuatilia maoni yanayowekwa humu.
Mfano wa hao ni huyo anayejiita 'SteveNtamusana'. Mmoja wa watu wa hovyo sana na hatari kwa usalama wa Tanzania.
Lakini juu yao, kuna Genge maalum lililo mshikilia Samia na chama cha CCM sasa hivi, wakikitumia kwa kufanya maovu yao.

