Mpaka mwaka 2017 watanzania 99.59% watakuwa CCM

Mpaka mwaka 2017 watanzania 99.59% watakuwa CCM

Jioni hii kunawatu wameniambia hawawezi ipenda ccm hata siku moja, kuna Mzee kasema yeye hata niaka ya 1985 na 1990 hakupigia ccm na hakuna mtu wa kumshawishi

huyo mzee ni wale watakao bakia hizo asilimia iliobakia
 
kwa dira inaonesha mwaka 2017 watanzania watakuwa ccm.
Ccm hivi sasa inajiandaa kusafisha wale wanaojifanya ccm mchana usiku wapo upande mwingi yale makapi yaliobaki yanaondolewa yoote zinaingizwa mashine mpya kuzipa nafasi ya makapi.
Na tunamuomba mungu magufuli aende mwendo huo huo.

mleta mada we ni jipu,inabidi utumbuliwe tu maana hamna namna.
 
Watamfuata nani huko wakati Pombe atakuwa ameshajitoa ccm. Soma ibara ya 41 na 42 ya katiba ukilinganisha na ile ya ubunge ya 71, ndipo utajua kuwa aliyoyafanya marehemu Mwanawasa wa Zambia na Marehemu Mutharika wa Malawi yatatokea pia tz, kaa msikilizie tu hili game. Hivi mmemsikia Kinana akiongea lolote toka Pombe achukue ikulu!?
 
1.Kuna kiongozi mmoja wa CCM kasema Magufili sio Kijani original ni Kijani Mpauko, je mleta mada umeelewa huyo kiongozi anamaanisha nini?

2. Vipi kauli za Lameck Airo na Nimlod Nkono?

3. Vipi picha za January Makamba?

Elewa kuwa CCM ina wenyewe na Magufuli hayuko upande wao.
 
Watamfuata nani huko wakati Pombe atakuwa ameshajitoa ccm. Soma ibara ya 41 na 42 ya katiba ukilinganisha na ile ya ubunge ya 71, ndipo utajua kuwa aliyoyafanya marehemu Mwanawasa wa Zambia na Marehemu Mutharika wa Malawi yatatokea pia tz, kaa msikilizie tu hili game. Hivi mmemsikia Kinana akiongea lolote toka Pombe achukue ikulu!?

hivi mmepagawa mbona mnazungumza vitu ambavyo havipo
 
kwa dira inaonesha mwaka 2017 watanzania watakuwa ccm.
ccm hivi sasa inajiandaa kusafisha wale wanaojifanya ccm mchana usiku wapo upande mwingi yale makapi yaliobaki yanaondolewa yoote zinaingizwa mashine mpya kuzipa nafasi ya makapi.
na tunamuomba mungu magufuli aende mwendo huo huo.

IQ yako inazidi kupungua siku hadi siku
 
Labda nikushauri kitu inaonekana wewe uijui siasa kwa mtu makini na anaye ijua siasa awezi kubadilishwa na nguvu za soda za mh magu.
 
Mkuu huo ni ukweli kwani kwa sasa hata vijana hawaoni aibu kujiita ccm hasa kwa mambo anayoyafanya jpm.

Kijani na njano imefufuka upya.

Hata Magufuli hyo ccm yenu mdomoni mwake ni kama kitu Haramu! Labda useme watakuwa pro Magufuli lakini siyo ccm
 
Siasa mchezo mchafu japo kuna marashi yakujisafishia ukumbuke hata waliomchagua magufuli hawana hata chembe ya ccm.
Muda Wa siasa za maji taka umeisha
Atakayezingua ata akiwekwa na jiwe atashindwa
 
kwa dira inaonesha mwaka 2017 watanzania watakuwa ccm.
ccm hivi sasa inajiandaa kusafisha wale wanaojifanya ccm mchana usiku wapo upande mwingi yale makapi yaliobaki yanaondolewa yoote zinaingizwa mashine mpya kuzipa nafasi ya makapi.
na tunamuomba mungu magufuli aende mwendo huo huo.

oh thats how you see
1-mtu anatakiwa kuwa mtanzaniahalisi/mzalendo na si muanachama wa chama chochote

---binafsi si mwana ccm lkn namsaport Jpm kwa kazi anayoifanya ...naamini african hawajastarabika so wanahitaji kupelekeshwa kidicteta coz ni watu wa kujisahau na kuanza kuleta dharau (ila maadiri na hofu ya Mungu kwanza)

2. tusipende chama kwanza kabla ya TZ wala tusisapoti mtu wa hivyo coz rais tulienaye akitoka hatujui atakuja nani

3.wote wanaopenda chama kwanza huwa hawakosoi chochote bali huweka tiki kwa chochote

Jpm hupenda Tz Na ci chama ndo maana hukiponda mbele ya wiongozi na ci kwa kujificha
 
kwa dira inaonesha mwaka 2017 watanzania watakuwa ccm.
ccm hivi sasa inajiandaa kusafisha wale wanaojifanya ccm mchana usiku wapo upande mwingi yale makapi yaliobaki yanaondolewa yoote zinaingizwa mashine mpya kuzipa nafasi ya makapi.
na tunamuomba mungu magufuli aende mwendo huo huo.

Tunashida na katiba hatuitaji maingizo ya ccm, anayewadanganya kwamba magufuli hataibadilisha tz ni kichaa, ukoo wa panya tu huo
 
Kitu gani kinakufanya uamini hivyo? Au ni jinsi JPM anavyotumbua majipu? Kumbuka kwamba Rais ametamka bayana kwamba hii ni serikali ya JPM (siyo CCM). Sasa kitu gani kitafanya asilimia kubwa ya waTZ wawe CCM? Na kwa bahati mbaya ikiwa hiyvo si tutakuwa tunarudi kuwa na mfumo wa chama kimoja. Hivyo ndo unavyotaka? Sidhani.Nimalizie kwa kusema kwamba sote tumuunge JPM katika juhudi zake za kutumbua majipu na kukuza uchumi. Lakini sula la kuwataka wa TZ wote wawe CCM nasema a big NO!!!!
 
upinzani utakua sana ila ukawa wajipange tu kubadilisha kuwa kiwe chama cha siasa..
Pili miaka hii 5 wafanye jitihada ya kuwa chama cha kitaifa kwa kubadisha mfumo wa uongozi kuwa wa kitaifa.
Kuhusu magufuli bado hakuna sera ..hakuna mawaziri..hatujui mwelekeo wa kiuchumi
Hatujui sera yake ya biashara..ya utalii ya afya ys kilimo
Hatujui ajira zitakuwepo au zitapungua
Jee shughuli za kiuchumi zzitaboreka au zita pungua....kuna kazi kubwa ya kufanya.
Hao wa makentena ni ufisadi ..hata kikwete aliwakamata kina mramba na yona
Na wale wa Epa ..lakini nchi haikua na sera ya maana.....bado wapinzani wanayo nafasi kubwa 2020
 
Ni wazi kuwa mambo yakianza kwenda kombo utakuwa wa kwanza kukosoa.

Tuunge harakati za rais ktk kuleta maendeleo
 
Upuuzi mtupu, yani ule u-ccm wenu wa kina Wema Sepetu ndio ifanye muongeze idadi ya wanachama?

Unafikiri tunaoshangilia kazi ya Magufuli tunaweza kushangilia ule upuuzi unaoshangiliwa na wana ccm wa stahili ya Wema Sepetu?

Sio lazima kuwa ccm kusifia kazi ya Magufuli na Majaliwa.

Ushabiki wenu wa kichama ni kama yanga na simba hamjali kabisa maslahi ya nchi mnaeka lichama lenu lilojaa wapuuzi mbele.
 
Kwa mbali namkubali magufuli lakini kamwe ctokaa niipende ccm hdi kufa
 
kwa dira inaonesha mwaka 2017 watanzania watakuwa ccm.
ccm hivi sasa inajiandaa kusafisha wale wanaojifanya ccm mchana usiku wapo upande mwingi yale makapi yaliobaki yanaondolewa yoote zinaingizwa mashine mpya kuzipa nafasi ya makapi.
na tunamuomba mungu magufuli aende mwendo huo huo.

Yawezekana wewe ni zao la mikesha ya mbio za Mwenge,hujuwi umuhimu wa upinzani.Kama upinzani ungekuwa na maana hiyo uliyonayo wewe,basi USA,Uingereza na nchi zote zilizoendelea wasingekuwa na upinzani.
 
sawa lakini sio upinzani wa tz kwa maana hakuna aliye msafi
 
Back
Top Bottom