Mpaka mwaka 2017 watanzania 99.59% watakuwa CCM

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
559
Kwa dira inaonesha mwaka 2017 watanzania watakuwa CCM. CCM hivi sasa inajiandaa kusafisha wale wanaojifanya CCM mchana usiku wapo upande mwingi, yale makapi yaliobaki yanaondolewa yote zinaingizwa mashine mpya kuzipa nafasi ya makapi. Na tunamuomba Mungu Magufuli aende mwendo huo huo.
 
Haiwezekani hata kidogo,huo utafiti wako wa chini ya mti peleka kwenu Lumumba.
 
kwa dira inaonesha mwaka 2017 watanzania watakuwa ccm.
ccm hivi sasa inajiandaa kusafisha wale wanaojifanya ccm mchana usiku wapo upande mwingi yale makapi yaliobaki yanaondolewa yoote zinaingizwa mashine mpya kuzipa nafasi ya makapi.
na tunamuomba mungu magufuli aende mwendo huo huo.

Mkuu huo ni ukweli kwani kwa sasa hata vijana hawaoni aibu kujiita ccm hasa kwa mambo anayoyafanya jpm.

Kijani na njano imefufuka upya.
 
Upinzani Upo popote watakuja na hoja mbadala subiri uone. Nyie si hamwataji na wahusika halisi wapinzani watawataja na kiasi cha makontena usishangae hata vimemo wakaviambatanisha. Upinzani haufutikagi jaman 7bu efficiency haifikii 100% hata iweje.
 
Kama wafanya biashara wakwepa kodi wanaambiwa lipeni alafu tuwasamehe wezi kabisa,nitakuwa chizi kuunga mkono ccm!
 
Rais ni wa Watanzania wote.Na kwa Taarifa yako Rais yuko tofauti kabisa na Ma CCM karibu yote yaliyokuwa Makupe na Mapepari.
Rais wetu hayuko kwenye UCCM.
 
Mleta uzi huwajui vizuri wanadam. ...Libya ilikuwa kama peponi unakumbuka walichomfanyia Gaddafi.?

Unaweza kushangaa ?cm ikaanguka
 
endelea na ndoto zako apo Lumumba upinzani utaimarika zaidi ya apa subiri maigizo yaishe kama yalivyoisha ya epa kipindu cha jk
 
ulitaka wafungwe ukose pesa ww hamnazo kabisa

Mnazunguka na watu wadogo mnawapa cash,wakati viongozi wa ccm wengi ndo wafanya biashara na wakwepa kodi ni yupi vigogo hao keshakamtwa,kuna wale wa Escrow waliobeba hela kwenye viroba hata kuguswa bado ,kila kukicha Magufuli Magufuli tunataka tuwaone hao wanakamatwa ,lakini kama kuongea ndo kupambana na ufisadi bc mmeshashinda hii vita
 
Upinzani Upo popote watakuja na hoja mbadala subiri uone. Nyie si hamwataji na wahusika halisi wapinzani watawataja na kiasi cha makontena usishangae hata vimemo wakaviambatanisha. Upinzani haufutikagi jaman 7bu efficiency haifikii 100% hata iweje.

haa haa tatizo upinzani wa tz hakuna aliemsafi
 
kwa dira inaonesha mwaka 2017 watanzania watakuwa ccm.
ccm hivi sasa inajiandaa kusafisha wale wanaojifanya ccm mchana usiku wapo upande mwingi yale makapi yaliobaki yanaondolewa yoote zinaingizwa mashine mpya kuzipa nafasi ya makapi.
na tunamuomba mungu magufuli aende mwendo huo huo.

Syo kwel. Siwez kuwa mwanachama wa chama cha kisiasa. Zaidi Sana nampenda mchapakazi yeyote anayetanguliza maslahi ya taifa mbele
 
Mnazunguka na watu wadogo mnawapa cash,wakati viongozi wa ccm wengi ndo wafanya biashara na wakwepa kodi ni yupi vigogo hao keshakamtwa,kuna wale wa Escrow waliobeba hela kwenye viroba hata kuguswa bado ,kila kukicha Magufuli Magufuli tunataka tuwaone hao wanakamatwa ,lakini kama kuongea ndo kupambana na ufisadi bc mmeshashinda hii vita

unaizungumzia escrow mbona huizungumzii richmond na capacity chage ya umeme ambayo inatutafuna watanzania mpaka leo
 
kwa dira inaonesha mwaka 2017 watanzania watakuwa ccm.
ccm hivi sasa inajiandaa kusafisha wale wanaojifanya ccm mchana usiku wapo upande mwingi yale makapi yaliobaki yanaondolewa yoote zinaingizwa mashine mpya kuzipa nafasi ya makapi.
na tunamuomba mungu magufuli aende mwendo huo huo.

Jioni hii kunawatu wameniambia hawawezi ipenda ccm hata siku moja, kuna Mzee kasema yeye hata niaka ya 1985 na 1990 hakupigia ccm na hakuna mtu wa kumshawishi
 
Utafiti wangu 2017 magufuri atahamia upinzan kwa kosa la kuvunja ilani ya CCM
 
Upinzani, hususan Chadema, wamejiweka kitanzi baada ya kukaribisha genge la Lowassa. Hawajielewi na wala hawajioni.
 
Back
Top Bottom