Thomas Sankra Jr
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 418
- 128
Kitu gani kinakufanya uamini hivyo? Au ni jinsi JPM anavyotumbua majipu? Kumbuka kwamba Rais ametamka bayana kwamba hii ni serikali ya JPM (siyo CCM). Sasa kitu gani kitafanya asilimia kubwa ya waTZ wawe CCM? Na kwa bahati mbaya ikiwa hiyvo si tutakuwa tunarudi kuwa na mfumo wa chama kimoja. Hivyo ndo unavyotaka? Sidhani.Nimalizie kwa kusema kwamba sote tumuunge JPM katika juhudi zake za kutumbua majipu na kukuza uchumi. Lakini sula la kuwataka wa TZ wote wawe CCM nasema a big NO!!!!
Hapa hata mimi nasema big No(Lakini sula la kuwataka wa TZ wote wawe CCM)